Walawi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Levitikus (boek)
d roboti Badiliko: af:Levitikus; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kitabu cha Walawi''' (pia: '''Mambo ya Walawi''') ni kitabu cha tatu katika [[Biblia ya Kiebrania]] ([[Tanak]]) na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]], kikifuata kile cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]] na kile cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Majina ==
 
Katika [[lugha]] asili ya [[Kiebrania]] kinaitwa ''Wayikra'' (maana yake “Na aliita”) ambalo ni neno la kwanza katika kitabu hicho.
Mstari 11:
Wengine wanakiita ''Kitabu cha Tatu cha [[Musa]] (au Mose)'' kwa vile inafikiriwa kuwa ndiye mwandishi wa kitabu hicho.
 
== Yaliyomo ==
Katika masimulizi ya kitabu ni Musa anayepokea maagizo ya Mungu akisikia sauti yake kutoka katika [[hema ya kukutania]]. Maagizo haya yanahusu hasa ibada zinazoendeshwa katika hema la kukutania na baadaye amri hizi zilitumiwa kwa ajili ya ibada kwenye [[hekalu la Yerusalemu]].
Mstari 26:
 
 
== Muhtasari ==
 
* 1:1-7:38 Sadaka mbalimbali
* 8:1-10:20 Kuthibitishwa kwa Ukuhani
* 11:1-15:33 Usafi na unajisi
* 16:1-17:16 Damu ya upatanisho
* 18:1-22:33 Utakatifu katika maisha ya kila siku
* 23:1-27:34 Matukio maalumu
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/Levit/ Kitabu cha Walawi katika Biblia (Union Version)]
 
{{Biblia_AK}}
 
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
[[af:Levitikus (boek)]]
[[an:Lebitico]]
[[ar:سفر اللاويين]]