Metali alikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: pt:Metal alcalino
d roboti Badiliko: cv:Сĕлтĕ металсем; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Metali alikali''' ni [[elementi]] za kundi la kwanza katika [[mfumo radidia]] hasa [[lithi]], [[natiri]], [[kali]], [[rubidi]], [[caesi]] na [[fransi]]. [[Hidrojeni]] ni pia elementi ya kundi la kwanza lakini kwa kawaida haionyeshi tabia za metali alikali.
 
== Tabia ==
Zote ni [[metali]] zinazong'aa kwa rangi kifedha-nyeupe zenye [[elektroni]] moja tu katika [[mzingo elektroni]] wa nje yaani zina [[valensi]] moja.
Kwa sababu hiyo humenyuka haraka na dutu nyingi hazipatikana kwa umbo safi kiasili. Kama zimesafishwa katika maabara zatunzwa katika angahewa ya [[gesi adimu]] au ndani ya mafuta bila kugusana na [[oksijeni]].
Mstari 7:
Kati ya metali ni laina zakatwa kwa kisu. [[Densiti husianifu]] ni kidogo.
 
== Uhusiano kati ya uzani atomia na tabia mbalimbali ==
Tabia mbalimbali hubadilika pamoja na kuongezeka kwa [[uzani atomia]]: elketrohasi yapungua, mmemenyuko huongezeka na na viwango vya kucemka au kuyeyuka hupungua.
 
Mstari 64:
 
{{Mbegu-sayansi}}
[[CategoryJamii:metali alikali| ]]
 
{{Link FA|lmo}}
Mstari 76:
[[ca:Metall alcalí]]
[[cs:Alkalický kov]]
[[cv:Сĕлтĕ металлĕсемметалсем]]
[[cy:Metel alcalïaidd]]
[[da:Alkalimetal]]