Waziri mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mg:Praiminisitra
d roboti Nyongeza: yo:Alákòóso àgbà; cosmetic changes
Mstari 5:
Kuna hasa aina mbili za mawaziri wakuu kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:
 
=== Waziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kibunge]] ===
* waziri mkuu kama kiongozi wa siasa ya nchi anachaguliwa na bunge. <br />Mifano: [[Ethiopia]], [[Uhindi]], [[Uingereza]] au [[Ujerumani]]. <br />Katika muundo huu nafasi ya rais au ya mfalme ni cheo cha heshima kama ishara ya umoja wa taifa. Waziri mkuu hutegemea kabisa idadi ya wabunge wanaoshikamana naye. Mkuu wa dola anaongezeka umuhimu kama bunge limegawanywa na hakuna uwingi ulio wazi kwa mgombea mmoja wa nafasi ya waziri mkuu.
** Katiba zinatofautiana kama mawaziri wote wako tu kwa mapenzi ya waziri mkuu au kama bunge linawachagua mmoja-mmoja. Hii inamaanisha tofauti kama waziri ana msimamo mbele ya waziri mkuu au kama hana.
 
=== Waziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kiraisi]] au kifalme ===
* waziri mkuu kama kiongozi wa serikali tu chini ya usimamizi wa rais au mfalme anayeshika madaraka makubwa. <br />Mifano: [[Tanzania]], [[Ufaransa]].<br /> Katika muundo huu rais huchaguliwa na wananchi wote. Yeye anamteua waziri mkuu, mara nyingi hata mawaziri wenyewe.
 
Katiba inaweza kusema ya kwamba rais ni huru kumchagua waziri mkuu hata bila kujali idadi ya wabunge wake bungeni.
Katika mfumo huu waziri mkuu ni zaidi kama meneja wa kazi ya serikali.
 
Lakini kuna mifano ambako katiba inampa rais na pia waziri mkuu kila mmoja madaraka yake. Kwa mfano rais kusimamia mambo ya jeshi na usalama pamoja na siasa ya nje na waziri mkuu kusimamia siasa ya ndani na ya kiuchumi. Hapo waziri mkuu atakuwa na uhuru zaidi mbele mkubwa wake.
 
=== Mifano ya nchi wenye mawaziri wakuu ===
 
* [[Australia]] (chini ya mfalme, mfumo wa kibunge)
Mstari 29:
* [[Uingereza]] (chini ya mfalme, mfumo wa kibunge)
* [[Ufaransa]] (chini ya rais)
* [Misri] (chini ya rais)
 
 
{{mbegu-siasa}}
[[CategoryJamii:siasa]]
 
[[af:Eerste Minister]]
Mstari 93:
[[vi:Thủ tướng]]
[[yi:פרעמיער מיניסטער]]
[[yo:Alákòóso àgbà]]
[[zh:总理]]
[[zh-min-nan:Siú-siòng]]