Tofauti kati ya marekesbisho "Ziwa"

3 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
kiungo
d (jamii)
(kiungo)
Mara nyingi [[mito]] inaingia au kutoka katika ziwa.
 
Maziwa mengi yana maji matamu kama maziwa makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] kwa mfano [[Viktoria Nyanza]] au [[Ziwa Nyasa]] au [[maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini]].
 
Lakini kuna pia maziwa yenye maji ya chumvi kama [[Bahari ya Chumvi]] kati ya [[Yordani]] na [[Israel]] au [[Bahari ya Kaspi]] kati ya [[Urusi]] na [[Uajemi]].