Apartheid : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
rejesha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Apartheid_Durban_beach.PNG|thumb|right|250px|Tangazo la Apartheid mjini [[Durban]] mwaka 1989: Bahari hii inaogelesha watu weupe tu!]]
'''Apartheid''' ni neno la [[Kiafrikaans]] linalomaanisha "kuwa pekee" au "utengano". Kwa kawaida hutaja siasa ya [[ubaguzi wa rangi]] wa kisheria nchini [[AfricaAfrika Kusini]] kati ya [[1948]] hadi [[1994]].
 
Siasa hii ilikuwa na utaratibu wa sheria nyingi zilizolenga kutenganisha watu wa rangi au mbari mbalimbali. Kusidi lake lilikuwa kimsingi kutunza kipaumbele ya [[makaburu]] na kuhakikisha Waafrika Weusi wasianze kushindana nao kwenye soko la kazi na nafasi za kijamii.