Shule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza na masahihisho
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Agrestina-Escola-Professor-José-ConstantinoChizongwe Secondary School.jpg|thumb|right|450px350px|Shule ya Sekondari ya Kifundi Chizongwe mjini [[AgrestinaChipata]], - [[BrazilZambia]].]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya Mmsingi mashambani nchini [[Zambia]]]]
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule''' katika Zanzibar: '''skuli''' kutoka [[Kiing.]] "school") ni taasisi au jengo ambako watu hufunzwa habari za elimu. Leo hii katika nchi nyingi watoto wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye .