Agano Jipya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ceb:Bag-ong Tugon
d roboti Nyongeza: ku:Încîl; cosmetic changes
Mstari 12:
== Vitabu vya kihistoria ==
[[Injili]] nne zinasimulia habari za Yesu.
* [[Injili ya Matthayo]] (Mt.)
* [[Injili ya Marko]] (Mk.)
* [[Injili ya Luka]] (Lk.)
* [[Injili ya Yohane]] (Yn.)
Kati yake, zile tatu za kwanza zinafanana hata zikaitwa [[Injili Ndugu]], kumbe ile ya Yohane ni ya pekee.
 
Historia ya mwanzo wa kanisa iko katika mwendelezo ya Injili ya Luka, jina lake
* [[Matendo ya Mitume]] (Mdo.)
 
== Nyaraka ==
Mstari 26:
Kuna maandiko 13 kati ya nyaraka yanayomtaja [[Mtume Paulo]] kama mwandishi. Wataalamu wa leo hutofautiana kama kweli nyaraka hizi zote zimeandikwa na Paulo mwenyewe. Kwa jumla saba zimetambuliwa na karibu wataalamu wote kuwa ni maandiko yake. Kuhusu mengine kuna maswali kwa sababu mbalimbali (kwa mfano tofauti za lugha, mkazo tofauti ya mafundisho), na wataalamu wengine hudai ya kuwa labda zimeandikwa na wanafunzi wake au na mwandishi kwa niaba ya Paulo.
 
* [[Waraka kwa Waroma]] (Rum.)
* [[Waraka wa kwanza kwa Wakorinto]] (1Kor.)
* [[Waraka wa pili kwa Wakorinto]] (2.Kor.)
* [[Waraka kwa Wagalatia]] (Gal.)
* [[Waraka kwa Waefeso]] (Efe.)
* [[Waraka kwa Wafilipi]] (Flp.)
* [[Waraka kwa Wakolosai]] (Kol.)
* [[Waraka wa kwanza kwa Wathesalonike]] (1Thes.)
* [[Waraka wa pili kwa Wathesalonike]] (2Thes.)
* [[Waraka wa kwanza kwa Timotheo]] (1Tim.)
* [[Waraka wa pili kwa Timotheo]] (2.Tim.)
* [[Waraka kwa Tito]] (Tit.)
* [[Waraka kwa Filemoni]] (Flm.)
 
 
Mstari 46:
=== Nyaraka katoliki ===
Jina "katoliki" halimaanisha madhehebu ya Kiroma, lakini maana asilia ya neno la [[Kigiriki]] "katoliki" ambayo inaweza kutafsiriwa pia "kwa watu wote".
* [[Waraka wa Yakobo]] (Yak.)
* [[Waraka wa kwanza wa Petro]] (1Pet.)
* [[Waraka wa pili wa Petro]] (2Pet.)
* [[Waraka wa kwanza wa Yohane]] (1Yoh.)
* [[Waraka wa pili wa Yohane]] (2.Yoh.)
* [[Waraka wa tatu wa Yohane]] (3Yoh.)
* [[Waraka wa Yuda]] (Yud.)
 
== Kitabu cha kinabii ==
Kitabu cha mwisho kinafuata mtindo wa kiapokaliptiko, yaani kinatazama [[historia]] kwa jumla kadiri ya imani katika ushindi wa Yesu juu ya shetani na nguvu zote za uovu. Kinaitwa
* [[Ufunuo wa Yohane]] (Ufu.)
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 117:
[[kn:ಹೊಸ ಒಡಂಬಡಿಕೆ]]
[[ko:신약성경]]
[[ku:Încîl]]
[[ky:Жаңы Осуят]]
[[la:Novum Testamentum]]