Kuba (jengo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: xal:Шала
d roboti Nyongeza: zh-yue:圓頂; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Pendentive and Dome.png|thumb|200px|Muundo wa kuba]]
'''Kuba''' ([[Kar.]] قبة ''kubba'') ni sehemu ya jengo inayoonekana kama nusu tufe iliyoko juu ya jengo fulani.
 
Ni sifa inayolenga kuonyesha umuhimu maalum wa jengo hili. Hivyo ni hasa makanisa, misikiti na majengo makubwa ya serikali zinazopambwa kwa kuba juu yake. Pamoja na hayo kuba inaweza kupazia sauti ya mseamji chini yake hivyo imesaidia kwa kusudi la kuwahotubia watu wengi.
Mstari 6:
Kati ya Waswahili wa Afrika ya Mashariki kuna desturi ya kupamba makaburi ya watu muhimu kama mashehe kwa kujenga kuba juu yake.
 
== Historia ==
Kuba zilijulikana tangu zama za kale katika [[Uhindi]] na katika mazigira ya [[Mediteranea]]. Hekalu ya [[Pantheon]] katika Roma ya Kale ilikuwa kuba kubwa duniani kwa miaka mingi. Katika karne ya 6 kanisa kuu la [[Hagia Sofia]] lilijengwa mjini [[Konstantinopoli]]. Kanisa hili ilikuwa kielelezo cha makanisa mengi yaliyojengwa baadaye. Baada ya kuingia kwa Waturuki katika eneo la Konstantinopoli walitumia kuba lake pia kama mfano kwa ajili ya [[misikiti]] mikubwa na hivyo kuba imekuwa sifa ya misikiti mingi.
 
 
== Picha ==
<center><gallery caption="Picha za Kuba" widths="200px" heights="120px" perrow="4">
Image:Pantheon opeion.jpg|Pantheon mjini [[Roma]] ilikuwa kielelezo cha kuba nyingi
Mstari 22:
</gallery>
 
[[CategoryJamii:Usanifu]]
{{mbegu-sayansi}}
 
Mstari 79:
[[zh:圓頂]]
[[zh-min-nan:Îⁿ-téng]]
[[zh-yue:圓頂]]