Content deleted Content added
Created page with '{{boxboxtop|Lugha}} {{User sw}} {{boxboxbottom}} {{User udsm}}'
 
No edit summary
Mstari 3:
{{boxboxbottom}}
{{User udsm}}
Jina langu kamili ni [[Moses]] [[Kehengu]]. Mimi ni mwanafunzi wa [[chuo kikuu cha Dar es Salaam]] ninayesomea shahada ya sayansi ya komputa. Nitamaliza elimu yangu mnamo mwezi wa tano mwaka [[2010]]. Napendelea kusoma vitabu hasa vile vinavyozungumzia mada ambazo ni nje na masomo yangu. Kwa kusoma hivyo huwa inanisaidia kujua mambo mengine zaidi.
 
Pia mpenzi mzuri wa kuangalia runinga hasa vipindi vya [[BBC]]. Napendelea makala ya [[Clickonline]]. Nafahamu mchezo wa tenisi ya meza kwa ustadi kiasi fulani. Mimi siyo bingwa sana wa mchezo wa huu, ila kama utakuwa hujafanya mazoezi siku nyingi, ukapocheza na mimi utaona ni mkali zaidi yako.
 
Kwa ujuzi mimi ni mzoefu katika kuprogramu komputa kwa kutumia lugha mbalimbali za komputa kama [[C/C++]], [[Java]], [[PHP]], [[HTML]], [[CSS]], [[Javascript]], [[Visual Basic]]. Pia na mengine mengi yanayohusiana na [[teknolojia ya mawasialiano]] na [[mtandao]]
 
Nimeaumua kushiriki katika shindano hili la kuandika [[makala]] za [[Kiswahili]] kwa sababu mimi mpenzi wa lugha yangu ya Kiswahili na nina mengi ya kutoa kwa jamii hasa yale ambayo naamini ni mageni ya kufurahisha. Naamini kwa kuendeleza kupitia shindano hili na baada ya shindano tutaweza kuongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya makala za kiswahili na kuongeza watumiaji wa lugha yetu ya thamani ya kiswahili katika mtandao.
 
--'''[[Mtumiaji:Moseskehengu|Moseskehengu]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Moseskehengu|majadiliano]])''' 17:27, 17 Desemba 2009 (UTC)