TAZARA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Tazara-järnvägen
d roboti Nyongeza: af:Tanzara-spoorlyn; cosmetic changes
Mstari 1:
'''TAZARA''' ('''Tanzania Zambia Railway''') ni shirika ya [[reli]] ya pamoja ya nchi za [[Zambia]] na [[Tanzania]]. Inaunganisha bandari ya [[Dar es Salaam]] nchini Tanzania na kituo cha [[New Kapiri Mposhi]] iliyopo kwenye njia ya reli kati ya [[Lusaka]] na [[Kitwe]] kwenye ukanda wa shaba wa Zambia.
[[ImagePicha:Tazara GE U30C Mlimba.JPG|thumbnail|Treni ya TAZARA kwenye kituo cha Mlimba]]
 
[[ImagePicha:Ifakara.TAZARA.station.JPG|thumbnail|Kituo cha TAZARA huko Ifakara]]
== Njia ya TAZARA ==
Njia ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860. Njia hii ina upana sawa na reli za Zambia na Afrika Kusini lakini ni tofauti na njia ya Reli ya Tanzania hivyo treni na magari hayawezi kutumiwa pande zote nchini Tanzania.
 
Mstari 27:
 
 
== Shabaha za mradi wa kujenga TAZARA ==
TAZARA ilijengwa kati ya 1970 - 1976 na [[Jamhuri ya Watu wa China]] kama zawadi kwa mataifa ya Zambia na Tanzania. Ujenzi ulitekelezwa na wafanyakazi Wachina zaidi ya 20,000.
 
Mstari 38:
* [http://www.tazara.co.tz/ www.tazara.co.tz Tovuti ya TAZARA]
 
[[categoryJamii:Reli za Afrika]]
[[categoryJamii:Usafiri wa Tanzania]]
[[categoryJamii:Zambia]]
 
[[af:Tanzara-spoorlyn]]
[[de:TAZARA]]
[[en:TAZARA Railway]]