Kitunda (sataranji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: id:Pion (catur)
d roboti Badiliko: uk:Пішак; cosmetic changes
Mstari 4:
Nafasi ya kitunda ni kama askari wa mguu katika jeshi; maafisa wa juu na askari wenye silaha za pekee wanakaa nyuma yake.
 
== Mwanzo wa mchezo ==
Vitunda hukaa kwenye mstari wa pili kila upande. Hii inafanana na utaratibu wa mapigano katika jeshi za kale ambako mara nyingi askari wa kawaida walikuwa mstari wa mbele na nyuma yao mfalme, maafisa au majenerali, wanajeshi wenye farasi, wapiga mishale au mashine za kurusha mikuki walikaa nyuma yao.
 
Mstari 12:
 
 
== Mwendo ==
Kitunda kina mwendo wa pekee. Tofauti na kete za juu hutembea mbele tu hakiwezi kurudi nyuma. Mwendo ni hatua za mraba 1-1 isipokuwa hatua ya kwanza inayoweza kuwa mraba 1 au miraba miwili.
 
Kama kitunda kinafikia mstari wa mwisho wa ubao kinaondolewa na kubadilishwa kwa kete nyingine yoyote isipokuwa kete kuu ya shaha. Badiliko la kitunda huwa ni uamuzi wa mchezaji wake.
 
== Kukamata ==
Kitunda hukamata kete za adui kama ziko upande wa kushoto au kulia wa mraba mbele yake. Hakina uwezo wa kukamata kete zilizopo mbele yake moja kwa moja.
 
Mstari 23:
Kama kinapita mraba unaotishiwa na kitunda cha adui kinaweza kuondolewa. Sababu yake ni ya kwamba kama kingetembea hatua ndogo ya mraba 1 tu adui kingekuwa na nafasi ya kuishambulia. Kama mchezaji adui anaamua hivyo anaweza kuondoa kitunda na kuweka chake kwenye mraba uliotishiwa naye awali.
 
[[jamiiJamii:shataranji]]
 
[[af:Pion (skaak)]]
Mstari 73:
[[th:เบี้ย (หมากรุก)]]
[[tr:Piyon (satranç)]]
[[uk:Пішак (шахова одиниця)]]
[[zh:兵 (國際象棋)]]