Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
{{boxboxbottom}}
 
Jina langu kamili ni [[Moses]] [[Kehengu]]. Mimi ni mwanafunzi wa [[chuo kikuu cha Dar es Salaam]] ninayesomea shahada ya sayansi ya komputakompyuta. Nitamaliza elimu yangu mnamo mwezi wa tano mwaka [[2010]]. Napendelea kusoma vitabu hasa vile vinavyozungumzia mada ambazo ni nje na masomo yangu. Kwa kusoma hivyo huwa inanisaidia kujua mambo mengine zaidi.
 
[[Picha:King Julien and Melman.jpg|thumb|300px|left|[[Madagascar:Escape 2 Africa]] :: Melman na Mfalme Julien]]
Pia mpenzi mzuri wa kuangalia runinga hasa vipindi vya [[BBC]]. Napendelea makala ya [[Clickonline]]. Nafahamu mchezo wa tenisi ya meza kwa ustadi kiasi fulani. Mimi siyo bingwa sana wa mchezo wa huu, ila kama utakuwa hujafanya mazoezi siku nyingi, ukapocheza na mimi utaona ni mkali zaidi yako.
 
Pia mpenzi mzuri wa kuangalia runinga hasa vipindi vya [[BBC]]. Napendelea makala ya [[Clickonline]]. Nafahamu mchezo wa tenisi ya meza kwa ustadi kiasi fulani. Mimi siyo bingwa sana wa mchezo wa huu, ila kama utakuwa hujafanya mazoezi siku nyingi, ukapocheza na mimi utaona ni mkali zaidi yako. Vilevile ni mpenzi wa sinema za [[vibonzo]] na zile za sayansi ya kufikirika.
 
Kwa ujuzi mimi ni mzoefu katika kuprogramu komputa kwa kutumia lugha mbalimbali za komputa kama [[C/C++]], [[Java]], [[PHP]], [[HTML]], [[CSS]], [[Javascript]], [[Visual Basic]]. Pia na mengine mengi yanayohusiana na [[teknolojia ya mawasialiano]] na [[mtandao]]