Annise Parker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|Annise Parker '''Annise Danette Parker''' (amezaliwa tar. 17 Mei, 1956ni meya mpya wa mji wa Houston jimboni Texas. Ni meya shog...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:51, 22 Desemba 2009

Annise Danette Parker (amezaliwa tar. 17 Mei, 1956ni meya mpya wa mji wa Houston jimboni Texas. Ni meya shoga wa kwanza wa mji mkubwa nchini Marekani. Wakati wa kampeni za uchaguzi alijulikana sana wakati huo alipojitangaza kuwa ni shoga. Parker ni ni mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia na alikuwa ni mwanachama wa baraza la mji katika Houston.

Annise Parker

Viungo vya Nje