Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Blanked the page
Mstari 1:
 
Joshua Nkomo wa kabila la WAKALANGA ndie mwanzilishi wa chama tawala nchini zimbabwe ZANU-PF anaetambuliwa kama baba wa taifa la zimbabwe ambaye kwa lugha yao husema ‘umdala wethu ‘
Nkomo alizaliwa katika hifadhi ya somokwe katika ardhi ya matebele mwaka 1917 akiwa ni miongoni mwa watoto nane wa mzee Thomas Nyongolo ambaye alikua mfanyakazi wa. [[London Missionary Society]] kama mchungaji na mfugaji.
 
===baada ya elimu ya msingi===
 
 
Baada ya kuhitimu elimu ya msingi Joshua Nkomo, alihamia katika jimbo la Rhodesia kusomea taaluma ya ufundi seremala katika shule ya London Missionary Society kwa mwaka mmoja kabla ya kua dereva.
Baada ya hapo alijaribu kuwa mfugaji kabla ya kuwa mwalimu wa ufundi seremala katika shule ya Manyame huko [[Kezi]]. Na Mnamo mwaka 1942 akiwa na miaka 25 akiwa bado mwalimu aliamua kwenda Afrika ya kusini kujiendeleza kielimu kwa kufanya kazi kama seremala na kufuzu kwa kiwango cha juu.
 
Baadae alijiunga na chuo cha Adms and the Jan Hofmeyer School of Social Work hukohuko Afrika ya kusini ambapo alipata nafasi ya kuonana aliyekuwa raisi wa Afrika ya kusini Nelson Mandela na viongozi mbalimbali wa kimataifa katika chuo kikuu cha Fort hare. Pamoja na kuwa hakuwahi kusoma katika chuo hicho lakini alipata shahada katika sayansi ya jamii mwaka 1952 katika Jan Hofmeyr School.
 
===baada ya masomo===
 
 
Nkomo alimuowa mkewe Johanna Mafuyana mwaka 1949 baada ya kukimbilia bulawayo mwaka 1947
ambapo alikuwa muunganishi wa biashara ya wafanyakazi wa reli ya watu weusi. Kutoka hapo alipanda na kuwa kiongozi wa ANC yaani African Natinal Congress mwaka 1952,
Kufikia 1960 alikua raisi wa NDP National DEMOCRATIC PARTY ambacho kilifungiwa na serikali ya rhodesia. Vilevile alikuwa miongoni mwa wajasiriamali tajiri.
Nkomo na wanamapinduzi wenzake waliwekwa kizuizini na serikali ya IAN SMITH aliyekuwa mtawala kikaburu huko Rhodesia kwa wakati huo. Mpaka kufikia mwaka 1974 waliachiwa kutokana na shinikizo aliyekuamtawala wa afrika ya kusini B.J VORSTER.
Baada ya kuachiliwa Nkomo alielekea Zambia kuendelea harakati za ukombozi kwa njia kivita au mazungumzo.
 
Mwaka 1982, baada ya mashinikizo mengi, hatimaye Nkomo alichaguliwa kuwa mbuge lakini badae aliachishwa wadhifa huo baada ya kutuhumiwa kujaribbu mapinduzi ya kijeshi ya nchi hiyo, kutokana na tofautiana baina ya chama cha ZAPU na chama cha ZANU
Nkomo amekuwa si mfuasi hai wa kanisa la kimishenari kwa muda mrefu wa maisha yake, lakini baadae Nkomo alibadilisha dhehebu na kuwa mkatoliki, hii ikiwa ni mwaka 1999. Siku chache kabla ya kifo chake ambapo alifariki akiwa na umri wa miaka 82, katika hospitali ya Parirenyatwa mjini Harare
 
Joshua Nkomo alitambuliwa kuwa shujaa wa taifa na alizikwa katika makaburi ya kimataifa ya [[Harare]]
 
{{en.wikipedia.org/wiki/joshua_Nkomo}}