Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Sahihisho dogo tu... |
||
Mstari 1:
'''Joshua Mqubuko Nyongolo Nkomo''' (
==Maisha ya awali==
Nkomo alizaliwa katika sehemu ya Somokwe katika ardhi ya Matebel
Baada ya kumaliza elimu yake ya msingi katika jimbo la Rhodeshia alijifunza masomo ya ufundi useremala katika shule ya Viwanda ya Tsholotso ambapo alisoma hapo kwa muda wa mwaka mmoja na baadae akawa dereva.
Baadae alifanya kazi kama mfugaji na baadae akawa mwalimu na alikuwa mahususi katika maswala ya useremala katika shule ya Manyame katika jimbo la Kezi.
Mwaka 1942, akiwa na miaka 25, na bado akiwa na kazi yake kama mwalimu, aliamua kwenda [[Afrika
Alijiunga na chuo cha Adams na Chuo cha Ufundi cha Jan Hofmeyer nchini Afrika ya Kusini.
===Ndoa===
Nkomo alimuoa Mke wala anaitwa Johanna Mafuyana tarehe 01/10/1949.
Baada ya kurudi kutoka [[Bulawayo]] mwaka 1947, alikuwa moja kati ya wapigania haki wafanyakazi wa shirika la Reli na Baadae kuwa kiongozi wa Umoja wa wafanyakazi wa Reli na baadae kuwa kiogozi wa [[African National Congress]] mwaka 1952. Mwaka 1960, alikuwa raisi wa chama cha [[National Democratic Part]] ambacho baadae kilifungiwa na serikali ya [[Rhodesia]]. Pia Nkomo amekuwa ni moja kati ya wajasiriamali matajiri zaidi katika eneo la Rhodesia.
===Mapinduzi ya Silaha===
Nkomo alitiwa Kizuizini katika kambi ya Gonakudzingwa na serikali ya Ian Smith mwaka 1964, wanamapinduzi wenzake kamam vile Ndabaningi Sithole, Edger Tekere Maurice Nyagubo na Robert Mugabe hadi mwaka 1974, lakini baadae waliachiwa baada ya shinikizo kutoka na Raisi wa Afrika ya Kusini.[[during the apartheid era|South African]] B.J.Vorster.
Line 27 ⟶ 25:
===
[[Image:Nkomo-ZAPU.jpg|thumb|200px|left|
Nkomo alianzisha chama cha National Democratic Part (NDP) , na mwaka ambao waziri Mkuu wa Uingereza bwana Harold Macmillan alipoongelea “upepo wa mabadiliko” unavuma katika Afrika [[Robert Mugabe]] aliungana nae. Chama cha NDP kilifungiwa na serikali ya kibabe ya Smith na baadae chama cha Zimbabwe African People Union ZAPU ambacho pia kilianzishwa na Joshua Nkomo pamoja na Robert Mugabe mwaka 1962, kilichua nafasi ya NDP. Lakini pia kilizuiwa mapema.
Chama cha ZAPU, kiligawanyika mwaka 1963, wakati wengine wahisi mgawanyiko huo ulikuwa ni kutokana na masuala ya Kikabila, lakini zaidi inaonesha kuwa mgawanyiko huo ulitokana na kushindwa kwa Sithole, Mugabe, Takawira na Malianga kuchukua madaraka ya ZAPU kutoka kwa Nkomo. ZAPU kikabaki chama chenye mjumuisho wa makabila. Mengi hadi kupatika kwa uhuru
Line 64 ⟶ 62:
==Marejeo==
{{
*''Nkomo: The Story of My Life'', Joshua Nkomo, Nicholas Harman (Author); 1984; ISBN 0413545008,ISBN 978-0413545008, Autobiography
*''The Zimbabwe African People's Union 1961-1987: A Political History of Insurgency in Southern Rhodesia''.
*''Terence O. Ranger, ‘Nkomo, Joshua Mqabuko Nyongolo (1917–1999)'', Oxford Dictionary of National Biography, Oxford University Press, 2004 [http://www.oxforddnb.com/view/article/72535, accessed 18 June 2006]
{{DEFAULTSORT:Nkomo, Joshua}}
[[Jamii:
[[Jamii:
▲[[Jamii:Cancer deaths in Zimbabwe]]
[[ar:جوشوا نكومو]]
|