Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:200px-Jnkomo.jpg|thumb|right|250px|Joshua Nkomo.]]
 
'''Joshua Mqubuko Nyongolo Nkomo''' ([[19 Juni]], [[1917]]<ref name="bio">Jessup, John E. ''An Encyclopedic Dictionary of Conflict and Conflict Resolution, 1945-1996.'' Page 533.</ref>&ndash;[[1 Julai]], [[1999]]) alikuwa mwananisiasa, kiongozi na mwanzilishi wa chama cha [[Zimbabwe African People’s Union]] na pia ni mtu wa kabila la Kalanga<ref name="ethnicity">Hill, Geoff. ''The Battle for Zimbabwe: The Final Countdown'', 2003. Page 52.</ref> kutoka nchini [[Zimbabwe]]. Huyu alikuwa anajulikana kama baba wa [[Zimbabwe]] au katika Lugha ya Zimbabwe ‘’umdala Wethu, Umafukufuku au chibwechitedza’’ jiwe linaloteleza au (the slipery rork)
 
 
Mstari 13:
===Ndoa===
Nkomo alimuoa Mke wala anaitwa Johanna Mafuyana tarehe 01/10/1949.
Baada ya kurudi kutoka [[Bulawayo]] mwaka 1947, alikuwa moja kati ya wapigania haki wafanyakazi wa shirika la Reli na Baadae kuwa kiongozi wa Umoja wa wafanyakazi wa Reli na baadae kuwa kiogozi wa [[African National Congress]] mwaka 1952. Mwaka 1960, alikuwa raisi wa chama cha [[National Democratic Part]] ambacho baadae kilifungiwa na serikali ya [[Rhodesia]]. Pia Nkomo amekuwa ni moja kati ya wajasiriamali matajiri zaidi katika eneo la Rhodesia.
 
 
===Mapinduzi ya Silaha===
Nkomo alitiwa Kizuizini katika kambi ya Gonakudzingwa na serikali ya Ian Smith mwaka 1964, wanamapinduzi wenzake kamam vile Ndabaningi Sithole, Edger Tekere Maurice Nyagubo na Robert Mugabe hadi mwaka 1974, lakini baadae waliachiwa baada ya shinikizo kutoka na Raisi wa Afrika ya Kusini.[[during the apartheid era|Southduring Africanthe apartheid era]]South African B.J.Vorster.
Baada ya Kuachiwa, Nkomo alienda nchini [[Zambia]] kuendelea na mapambano ya chini chini na pia majadiliano. Tofauti na ZANU yaani ([[Zimbabwe]] African National Liberation Army) na mapambano ya silaha , chama cha ZAPU (Zimbabwe people’s Revolution Army) kilikuwa kimeamua kufanya mapambano ya msituni na mazungumzo. Katika kipindi cha uhuru, ZIPRA ilikuwa na silaha za kijeshi za kisasa na zilizokuwa zimehifadhiwa katika nchi za [[Zambia]] na [[Angola]] iliyokuwa pamoja na silaha nyingine za kivita kulikuwa na mizinga ya vita na wafanyakazi wa kisasa katika matumizi ya vifaa ivyo.
 
Line 22 ⟶ 24:
Majeshi ya ZAPU, yalifanya mambo mengi ya matumizi ya nguvua katika kuiondoa madarakani serikali ya Rhodesia. Moja kati ya mambo yanayasadikika kuwa ni ya kinyama zaidi kuwahi kutokea ni pamoja na mauaji katika ndege za abiria. Ya kwanza yalitokea tarehe 3/09/1978 na kuua watu 38, kati ya watu 56, na wengine kumi wakijeruhiwa, ikiwa ni oamoja na watoto. Waliobaki hai, walitembea kutoka kuotka eneo hilo hadi Kariba kiasi cha umbali wa kilometa 20.
Baadhi ya wasafiri walikuwa wamejeruhiwa vibaya, ,na baadhi alichukuliwa na polisi wa jeshi la Rhodesia,
Jaribio la pili lilikuwa tarehe 12/02/1979 na kuua watu 59, papo hapo, lakini malengo ya shambulizi la pili yalikuwa kwa ajili ya Peter Walls mkuu wa COMOPS (Commander Combined Operations) aliikuwa aliyekuwa anahusika na vifaa maalumu kama vile. [[Special Air Service|SASSpecial Air Service]]SAS Walls alipokea tiketi ya kuondoka na ndege ya pili kutokana na idadi kubwa ya watalii, ndege ambayo iliondoka Kariba dakika 15, baada ya ndege iliyopotea. Hakuna mtu aliyeshitakiwa kwa makosa ya ndege kupotea kutokana na kutolewa kwa msamaha kutoka kwa Smith na Mugabe.
 
Katika mahojiano ya Televisheni, muda mfupi baada ya kupotea kwa ndege nyingine, ambapo, akiwa anacheka Nkomo alitania kuhusiana na matukio hayo na kuhakikisha kuwa ZAPU ndio wanaohusika na mashambulizi ya ndege mbalimbali. Katika vitabu vyake mbalimbali kama vile ‘’Story of my Life’’ kilichochapishwa mwaka 1985, Joshua Nkomo ameelezea masikitiko yake kuhusiana na mashambulizi ya ndege zote mbili
Line 34 ⟶ 36:
Serikali ambayo haikwa maarufu ilioyitwa Zimbabwe-Rhodesia ilioyokuwa inaongozwa na Abel Muzorewa iliundwa mwaka 1979kati ya Ian Smith na Ndabaningi Sithole’s . ZANU ambyo kwa wakati huo, ilikuwa tayari imeshagawanyika kutoka kwa Mambo ya kijeshi ya Mugabe. Lakini vita ilioyanzishwa na Nkomo na Mugabe viliendelea bila kupiganwa. Na Uingereza pamoja na Marekani havikuweka vikwazo katika nchi hiyo
Uingereza ulivishawishi vyama hivyo kwenda katika Lancaster House mwezi wa tisa mwaka 1979, kwa ajili ya kuanzisha katiba na kuitisha uchaguzi upya. Mugabe na Nkomo walifanya makubaliano yaliyoitwa Patriotic Front (PF) katika makubaliano yaliyoendeshwa na Lord Carrington. Uchaguzi ulifanyika mwaka 1980, na katika macho ya wengi chama cha ZAPU kilichokuwa kinaongozwa na Nkomo kilishindwa katika uchaguzi huo na chama cha ZANU kilichoongozwa na Mugabe
Matokeo ya uchaguzi huo. Yaliweka vyama vyote viwili ZAPU na ZANU katika vyama vinavyoegamia mfumo wa kikabila , yaani chama cha ZANU kikiwa na iadi kubwa ya ya kabila la [[Shona]] na chama cha ZAPU kikiwa na idadi kubwa ya kabila la [[Ndebele]] Nkomo alikaribishwa katika sherehe ya uraisi lakini alikataa.
 
 
Line 44 ⟶ 46:
Hatimaye, baada ya majadiliano ya muda mrefu na kukataliwa mara kadhaa, Nkomo hatimaye alichaguliwa katika baraza la mawaziri, lakini mwaka 1982, alishtakiwa kwa kosa la upanga mainduzi ya kijeshi, baada ya mawakili kutoka Afrika ya Kusini kwenda [[Zimbabwe]] central Intelligence Organisation, kujaribu kutengeneza kuotkuaminiana kati ya vyama vya ZAPU na chama cha ZANU, waliweka kwa kukusudia silaha katika mashamba yanayomilikwa na chama cha ZAPU na kwenda kutoa taarifa kwa Mugabe juu ya kukutwa kwa silaha katika katika mashamba hayo
Katika hotuba yake, Mugabe alisema “ZAPU and its leader Dr. Joshua Nkomo, are like a cobra in a house the only way to deal with effectively with a snake is to strike and destroy its head ” yaani “ZAPU na kiongozi wake, Dr Joshua Nkomo ni kama nyoka ndani ya nyumba, njia pekee ya kufanya kwa nyoka na kumshambulia na kuharibu kichwa chake”
Aliagiza kikosi cha jeshi kwa eneo analokaa Nkomo, yaani katika ardhi ya [[Matebele]] katika oparesheni ya [[Gukurahundi]] na kuua wandebele 3,000 katika jaribio la kutokomeza chama cha ZAPU na kutengeneza serikali chini ya chama kimoja.
Nkomo alitoroka Nchini Zimbabwe, na Serkali ya Mugabe ikadai kuwa ametoroka akiwa amevaa kama mwanamke.
{{ cquote|NKOMO KATOROKA: Kiongozi wa chama cha ZAPU, emetoroka kwenda katika maficho aliyojipa mwenyewe jijini [[London]] baada ya ya kutoroka bila kufuata sheria kupitia [[Botswana]] akiwa amevalia kama mwanamke tarehe07/03/1983, akidai kuwa maisha yake yalikuwa hatarini na kuwa alikiwa akienda kutafuta masuluhisho ya [[Zimbabwe]] nje ya nchi (chapa ya serikali, [[Harare]] 1984) )<ref name = "josh"> Joshua Nkomo, The Story of My Life, Methuen London 1984 or Sapes books Harare 2001, p.1-4 "clown Herbert Ushewokunze, minister of home affairs"</ref>.}}
Line 50 ⟶ 52:
 
Yaani, “ nilitegemea kuwa wataibua habari za kipumbavu juu ya kuondoka kwangu.,… watu wataamini chochote kama wameamini hayo” na kuongeza kuwa “hakuna kitu katika maisha yangu kilichoandakiwa kwa ajili ya kushtakiwa katika mikono ya serikali ya waafrika weusi.
Baada ya amuaji ya kinyama katika Gukurahundi ya mwaka 1987, Nkomo hatimaye akakubali chama cha ZAPU kuingia katika chama cha ZANU, na kusababisha kuotkea kwa chama cha [[ZANU-PF]] na kuiacha nchi ya [[Zimbabwe]] kama nchi iliyo katika mfumo wa chama kimoja. Jambo lililosababisha baadhi ya watu wa kabila la [[Ndebele]] kumlaumu Nkomo kwa kuwauza kwa chama cha kigine.
Lakini idadi ya watu wa kabila la Ndebele, walikuwa wachache kiasi cha kushindwa kutoa pingamizi lenye nguvuwakati wa kuunganishwa kwa vyama hivyo viwili. Katika hali ya kutokuwa na nguvu, na afya yake kuzidi kudorora hata ushawishi wake ukashindwa kuwa na mshiko na hivyo kufa
Alipoulizwa katika maisha yake, kuwa kwa nini aliruhusu haya yote yatokee, alimwambia mwana historia kuwa Eliaki Sibanda kuwa, alifanya hivyo ili kusitisha mauaji ya watu wa kabila la [[Ndebele]] (ambao walikuwa wakiunga mkono chama chake) na ya wanasiasa wa chama cha ZAPU na wanaharakati ambao walikuwa wakilengwa na vyombo vya usalama vya [[Zimbabwe]] tangu mwaka 1982, alisema “Mugabe and his Shona henchmen have always sought the extermination of the Ndebele," yaani “Mugabe na Washona wake walitaka kufanya ukatili kwa Wandebele” alisema
Nkomo amekuwa si muumini mzuri wa kanisa la kimeshenari katika sehemu kubwa ya maisha yake, alibadilisha dini na kuwa Mkatoliki [[Roman Catholicism]] mwaka 1999, muda mfupi baada ya kufariki kwa saratani ya kibofu yaani [[prostate cancer]] tarehe 01/07/1999 akiwa na umri wa mika 82, katika hospitali ya [[Parirenyatwa]] katika jimbo la [[Harare]]
 
 
Line 60 ⟶ 62:
 
===Hadhi ya Kuwa shujaa wa taifa===
Mwaka 1999, Nkomo alitangazwa kuwa shujaa, na alizikwa katika makaburi ya mashujaa ya taifa [[Natioanal Heroes Acre]] katika jimbo la [[Harare]]
Tarehe 27/06/2000, seti ya stampu nne zilitolewa na shirika na pasta na mawasiliano la Zimbabwe na kuonesha Joshua Nkomo. Zenye kuonesha badili la fedha ya [[ZW$]]2.00, $9.10, $12.00 and $16.00 ya yalikusudiwa na Cedric D Herbert.
 
==Marejeo==