Boroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: new:बोरोन
d roboti Nyongeza: dv:ބޯރޯން; cosmetic changes
Mstari 10:
| valensi = 2, 3
| densiti husianifu =
| kiwango cha kuyeyuka = 2349 K (2076  °C)
| kiwango cha kuchemka = 4200 K (3927  °C)
| kiwango utatu =
| % ganda dunia = 0
Mstari 19:
 
'''Boroni''' ni [[elementi]] ya kikemia yenye [[namba atomia]] 5 kwenye [[mfumo radidia]] na [[uzani atomia]] 10.811. Alama yake ni '''B'''.
== Tabia ==
Boroni ni nusumetali au [[metaloidi]] ina [[valensi]] tatu. Elementi pekee yake haipatikani katika mazingira asilia duniani ila tu katika [[kampaundi]] kama vile borasi (Na<sub>2</sub>B<sub>4</sub>O<sub>7</sub>·10H<sub>2</sub>O ).
 
== Umbo hobela au la fuwele ==
Inapotapaswa kutoka kwa kampaundi zake hupatikana katika umbo hobela kama unga wa rangi kahawia au la [[fuwele]] nyeusi na ngumu isiyohami umeme. Boroni ni dutu ngumu duniani baada ya [[almasi]] na kati ya elementi zote ni imara dhidi ya nguvu ya mvuto.
 
== Matumizi kiteknolojia ==
Matumizi ya boroni ni katika teknolojia ya kihami na katika madawa ya kupausha au kung'arisha. Inatumiwa pia kama nyongeza katika aloy kwa ajili ya sehemu za eropleni zinazotakiwa imara ma nyepesi.
 
== Nafasi ya kibiolojia ==
Kwa kiasi ndogondogo boroni ina kazi katika miili ya wanyama isipokuwa bado haijaeleweka ni kazi gani isipokuwa imeonekana ni muhimu.
<gallery>
Mstari 36:
 
{{mbegu-kemia}}
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Elementi]]
[[CategoryJamii:Simetali]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[af:Boor (element)]]
Line 57 ⟶ 56:
[[da:Bor (grundstof)]]
[[de:Bor]]
[[dv:ބޯރޯން]]
[[el:Βόριο]]
[[en:Boron]]