Hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ko:히즈라 (이슬람); cosmetic changes
Mstari 4:
Maana ya kiasili ya neno lenyewe ni "kuachana" au "kutengana" , kutokana na historia ya Muhammad limechukua pia maana ya "kukimbilia" au "kuhamia".
 
== Historia ya Hijra ==
Muhammad alianza kuhubiri habari za [[Qurani]] na za [[Uislamu]] katika mji wa Makka alipozaliwa na kuishi. Lakini hakupata wafuasi wengi. Kinyume chake kabila lake yeye mwenyewe la [[Waquraishi]] walimchukia na kumtesa kwani viongozi waliogopa ataharibu biashara kubwa iliyoletwa na [[Kaaba]] iliyokuwa kama hekalu ya kidini mjini.
 
Mstari 15:
Pia hesabu ya miaka ilianzishwa wakati wa [[khalifa]] wa pili [[Umar]] ikihesabu kuanzia tarehe ile ya kuhamia kwake Muhammad Madina.
 
[[CategoryJamii:Uislamu]]
 
[[als:Hedschra]]
Mstari 41:
[[jv:Hijroh]]
[[ka:ჰიჯრა]]
[[ko:헤지라히즈라 (이슬람)]]
[[ku:Hîcret]]
[[la:Hegira]]