Mkoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Mkoa''' ni jina kwa ajili ya eneo fulani ndani ya nchi ambalo ni ngazi ya utawala wa nchi ile. Matumizi ya jina hili linaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi. ===Mikoa y...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mkoa''' ni jina kwa ajili ya eneo fulani ndani ya nchi ambalo ni ngazi ya utawala wa nchi ile.
 
Matumizi ya jina hili linaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi. Kwa kutafsiri vitengo vya utawala vya nchi mbalimbali wakati mwingine kuna mchaganyiko wa maneno "mkoa", "wilaya" na "jimbo" hasa kwa sababu kawaida ya matumizi ya maneno yanayolingana kwa Kiingereza "region", "district" na "province" hayafuati mara kwa mara utaratibu maalumu.
Matumizi ya jina hili linaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.
 
===Mikoa ya Tanzania na Kenya===
Mstari 9:
Kiongozi wa mkoa ni Mkuu wa Mkoa anayeteuliwa na rais wa taifa.
 
===Mikoa chini ya majimbo===
Nchi zenye muundo za shirikisho zinakuwa na majimbo au madola ndani ya taifa na kila jimbo au dola la shirikisho linaweza kuwa na mikoa yake ambayo ni ngazi ya pili katika mfumo huu. Ila tu si lazima kuwa na mikoa kuna pia wilaya moja kwa moja chini ya majimbo au madola ya shirikisho kama ngazi ya pili bila kutumia ngazi ya mikoa tena.