Densiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Densiti''' ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni '''ρ''' (rho). Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:32, 28 Desemba 2009

Densiti ni kipimo cha kulinganisha masi na mjao wa gimba fulani. Alama yake ya kifizikia huwa ni ρ (rho).

Gimba lenye densiti kubwa huwa na mada nyingi katika mjao fulani. Gimba lenye densiti dogo huwa na mada kidogo katika mjao uleule. Densiti kubwa husababisha ya kwamba sisi tunaita kitu "kizito".

Maji yasiyo na chumvi ndani yake huwa na densiti 1.

Vipimo kwa kawaida vya densiti huwa ni g/cm3 na kg/m3.

Fomula yake ni