Antonio Valencia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{mbegu}} kiswahili wikipedia challenge - ekisa mark'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{mbegu}}
 
{{About|the footballer|the boxer|Antonio Valencia (boxer)}}
kiswahili wikipedia challenge - ekisa mark
 
{{Infobox Football biography 2
| playername = Antonio Valencia
| image = [[Image:Antonio Valencia Ecu vs. Col.jpg|frameless]]
| caption = Valencia on international duty with [[Ecuador national football team|Ecuador]], August 2008
| fullname = Luis Antonio Valencia Mosquera
| dateofbirth = {{birth date and age|1985|8|4|df=y}}
| cityofbirth = [[Lago Agrio]]
| countryofbirth = [[Ecuador]]
| height = {{height|m=1.81}}<ref>{{cite web |title=Antonio Valenca |url=http://www.wiganlatics.premiumtv.co.uk/page/ProfilesDetail/0,,10429~34079,00.html |work=wiganlatics.co.uk |publisher=Wigan Athletic F.C. |date=16 July 2008 |accessdate=16 July 2008 }}</ref>
| currentclub = [[Manchester United F.C.|Manchester United]]
| clubnumber = 25
| position = [[Midfielder#Winger|Winger]]
| youthyears1 = 1999–2001 |youthclubs1 = Caribe Junior
| youthyears2 = 2001–2004 |youthclubs2 = [[Club Deportivo El Nacional|El Nacional]]
| years1 = 2003–2005 |clubs1 = [[Club Deportivo El Nacional|El Nacional]] |caps1 = 84 |goals1 = 20
| years2 = 2005–2008 |clubs2 = [[Villarreal CF|Villarreal]] |caps2 = 2 |goals2 = 0
| years3 = 2005–2006 |clubs3 = → [[Recreativo de Huelva|Recreativo]] (loan) |caps3 = 14 |goals3 = 1
| years4 = 2006–2008 |clubs4 = → [[Wigan Athletic F.C.|Wigan Athletic]] (loan) |caps4 = 37 |goals4 = 1
| years5 = 2008–2009 |clubs5 = [[Wigan Athletic F.C.|Wigan Athletic]] |caps5 = 47 |goals5 = 6
| years6 = 2009– |clubs6 = [[Manchester United F.C.|Manchester United]] |caps6 = 17 |goals6 = 4<!-- LEAGUE STATS ONLY -->
| nationalyears1 = 2005– |nationalteam1 = [[Ecuador national football team|Ecuador]] |nationalcaps1 = 40 |nationalgoals1 = 6
| pcupdate = 15:06, 20 December 2009 (UTC)
| ntupdate = 21:44, 29 July 2009 (UTC)
}}
'''Luis Antonio Valencia Mosquera''' (alizaliwa mnamo 4 Agosti, 1985), anayejulikana sana kama '''Antonio Valencia''' , ni mchezaji wa kandanda wa kiungo cha kati mwenye uraia wa Ecuador na ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Manchester United [5] na timu ya taifa ya Ecuador.
 
 
 
==Wasifu wa Klabu==
 
===Wasifu wa Mapema===
Baada ya kuwa na utoto ambao haukujaliwa katika sehemu ya Lago Agrio, Valencia alianza wasifu wake katika klabu ya El Nacional na alihamia timu ya ligi ya Kihispania, Villarreal, mwaka wa 2005. Hata hivyo, alipeanwa kama mkopo katika klabu ya Recreativo de Huelva muda mwingi wa msimu wa 2005-06, ambapo aliisaidia timu kupanda cheo kucheza katika ligi kuu ya Uhispania.
 
 
 
===Wigan Athletic===
Mwanzoni mwa msimu uliyofuata, alijiunga na klabu ya Ligi ya Uingereza, [[Wigan Athletic]], awali kama mpango wa mkopo kwa muda wa mwaka moja. Alicheza mechi yake ya kwanza ya Wigan tarehe 19 Agosti 2006, mechi ambayo Wigan ilipoteza 2-1 dhidi ya [[Newcastle United]], na aliifungia Wigan bao lake la kwanza dhidi ya [[Manchester Ci]]ty tarehe 21 Oktoba 2006. Muda wa mkopo uliongezwa hadi msimu uliyofuata, na tarehe 18 Januari 2008 alihamia Wigan rasmi kwa kitita cha ada ambacho hakikutangazwa, na alisaini mkataba wa miaka tatu unusu. Alikataa kuihamia timu ya La Liga ya Real Madrid mnamo Januari 2009. Mapema juni mwaka wa 2009, mwenyekiti wa Wigan alitangaza kuwa hatamlazimisha Valencia kubaki katika klabu.
 
 
 
===Manchester United===
Mnamo 30 juni 2009, Valencia akawa mchezaji wa kwanza kusainiwa na klabu ya Manchester United, na alikatiza likizo yake kwa ajili matibabu na klabu. Alisaini mkataba wa miaka minne kwa kitita cha ada ambacho hakikutangazwa, lakini fununu ni kuwa ada hiyo ilikuwa ya paundi milioni ([[£]]) 16. Alicheza mechi yake ya kwanza ya ushindani ya Manchester United katika FA Community Shield mwaka wa 2009, wakati aliingia kama mbadala wa [[Nani]] katika dakika ya 62 wakati Nani alijeruhiwa. Tarehe 17 Oktoba 2009, alifunga bao lake la kwanza la klabu, kwa kufunga bao la upili na la ushindi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bolton Wanderers [25] Bao lake la kwanza katika shindano la kombe la mabingwa barani Ulaya lilifuata siku nne baadaye katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya CSKA Moscow. Tarehe 15 Desemba, Valencia alifunga bao katika mechi yake ya 100 ya Ligi Kuu ya Uingereza na bao lake liilikuwa la mwisho katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolves.
 
 
 
==Wasifu wa Kimataifa==
Valencia aliichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mechi ya kufuzu kushiriki katika kombe la dunia la FIFA dhidi ya [[Paragwei]] tarehe 27 Machi 2005, na alifunga mabao mawili katika ushindi wa 5-2. Aliichezea Ecuador katika kombe la dunia la 2006, na alichaguliwa kama mteule wa timu ya FIFA ya wachezaji 11 bora, ambayo inatambua wachezaji nyota katika kila nafasi katika Kombe la Dunia. Pia aliorodheshwa kama mmoja wa wagombea sita kwa tuzo la mchezaji bora mchanga wa Gillette. Barua pepe lilisambazwa nchini Uingereza na liliwapa moyo watu kumpigia kura Valencia, katika jaribio la kuzuia [[Cristiano Ronaldo]] kushinda. Valencia alipokea idadi kubwa ya kura katika uchaguzi wa mtandao wa tarakilishi, [34] lakini tangu Mshindi wa tuzo anadhamiriwa na kura za wafuasi na jopo la majaji, hatimaye tuzo alipewa [[Lukas Podolski]].
 
 
 
==Takwimu ya Wasifu==
''Takwimu ya wasifu nchini Uingereza''
 
{| class="wikitable" style="text-align:center"
|-
! rowspan="2"|Klabu
! rowspan="2"|Msimu
! colspan="2"|Ligi!
! colspan="2"|Kombe!
! colspan="2"|Kikombe cha Carling
! colspan="2"|Continental
! colspan="2"|Nyingine <ref>[18] ^ Yajumuisha ushindani wa mashindano mengine, zikiwemo FA Community Shield, Uefa Super Cup, kombo la intercontinental , FIFA Club World Cup</ref>
! colspan="2"|Jumla
|-
!Matokeo
!Mabao
!Matokeo
!Mabao
!Matokeo
!Mabao
!Matokeo
!Mabao
!Matokeo
!Mabao
!Matokeo
!Mabao
|-
| rowspan="4"|Wigan Athletic
| 2006-07
| 22
| 1
| 0
| 0
| 0
| 0
| colspan="2"|--
| 0
| 0
| 22
| 1
|-
| 2007-08
| 31
| 3
| 1
| 0
| 0
| 0
| colspan="2"|--
| 0
| 0
| 32
| 3
|-
| 2008-09
| 31
| 3
| 1
| 0
| 3
| 0
| colspan="2"|--
| 0
| 0
| 35
| 3
|-
!Jumla
!84
!7
!2
!0
!3
!0
! colspan="2"|--
!0
!0
!89
!7
|-
| rowspan="2"|Manchester United
| 2009-10
| 17
| 4
| 0
| 0
| 1
| 0
| 5
| 2
| 1
| 0
| 24
| 6.
|-
!Jumla
!17
!4
!0
!0
!1
!0
!5
!2
!1
!0
!24
!6.
|-
! colspan="2"|Jumla wa wasifu
!101
!11
!2
!0
!4
!0
!5
!2
!1
!0
!113
!13
|}
 
 
''Takwimu sahihi kama ya kucheza mechi 19 Desemba, 2009.'' <ref>{{cite web |url=http://www.stretfordend.co.uk/playermenu/valencia.html |title=Antonio Valencia |accessdate=5 December 2009 |last=Endlar |first=Andrew |publisher=StretfordEnd.co.uk }}</ref>
 
 
 
==Tuzo==
 
===Klabu===
 
;El Nacional
 
 
*Serie A de Ecuador (1): 2005 Clausura
 
 
 
==Marejeo==
{{reflist|2}}
 
 
 
==Viungo vya nje==
 
*{{soccerbase|id=40454|name=Luis Antonio Valencia}}
*{{FIFA player|202544|Luis Valencia}}
*[http://www.manutd.com/default.sps?pagegid = (FE60904B-C2A8-4E60-9B05-700DBBC29BBC) &amp; sehemu = playerProfile &amp; teamid = 458 &amp; bioid = 93891 Antonio Valencia profile] at Manchester United website
 
 
{{Ecuador Squad 2006 World Cup}}
{{Ecuador Squad 2007 Copa América}}
{{Manchester United F.C. squad}}
 
 
 
{{Persondata
|NAME = Luis Antonio Valencia Mosquera
|ALTERNATIVE NAMES = Antonio Valencia
|SHORT DESCRIPTION = [[Association football|footballer]]
|DATE OF BIRTH = 4 August 1985
|PLACE OF BIRTH = [[Nueva Loja]], [[Sucumbios]], [[Ecuador]]
}}
{{DEFAULTSORT:Valencia, Antonio}}
*Waliozaliwa 1985
*Watu waliohai
*Wachezaji waEcuador
*Wachezaji wa Kimataifa Ecuador
*Wataalam wa Wachezaji kandanda nchini Ecuador
*Wataalam wa Wachezaji kandanda nchini Uhispania
*Wachezaji wa Olympique de Marseille
*Wachezaji wa kandanda ambao ni mawinga
*Wachezaji wa El Nacional
*Wachezaji wa Villarreal CF
*Wachezaji wa Recreativo de Huelva
*Wachezaji wa Wigan Athletic FC
*Wachezaji wa Manchester United FC
*Wachezaji kandanda katika La Liga
*Wachezaji wa Ligi kuu ya Uingereza
*Wachezaji wa Kombe la Dunia wa 2006
*Wachezaji wa Copa América wa 2007
 
 
[[ar:لويس فالنسيا]]
[[bg:Антонио Валенсия]]
[[ca:Luis Antonio Valencia Mosquera]]
[[da:Antonio Valencia]]
[[de:Luis Antonio Valencia]]
 
[[en:Antonio Valencia]]
[[et:Antonio Valencia]]
[[es:Luis Antonio Valencia]]
[[fr:Antonio Valencia]]
[[ko:안토니오 발렌시아]]
[[it:Luis Antonio Valencia]]
[[he:אנטוניו ולנסיה]]
[[lt:Luis Antonio Valencia]]
[[hu:Antonio Valencia]]
[[mt:Antonio Valencia]]
[[nl:Luis Antonio Valencia]]
[[ja:アントニオ・バレンシア]]
[[no:Luis Antonio Valencia]]
[[pl:Luis Antonio Valencia]]
[[pt:Antonio Valencia]]
[[ru:Валенсия, Антонио]]
[[sl:Antonio Valencia]]
[[fi:Antonio Valencia]]
[[sv:Antonio Valencia]]
[[tr:Antonio Valencia]]
[[zh:安东尼奥·瓦伦西亚]]