Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: new:सुमेर
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Sumõr; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|Hati ya Kisumeri yaonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.
 
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye rutba kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka 3,500 [[KK]]. Elimu ya akiolojia iliweza kuthebitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]]. Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kuchora maneno kwenye vipande vya udongo wa ufinyanzi na kuvichoma. Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika masaa 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.
 
Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].
 
 
{{Mbegu}}
[[Category:Mesopotamia]]
[[Category:Historia ya Iraq]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Mesopotamia]]
[[CategoryJamii:Historia ya Iraq]]
 
{{Link FA|ka}}
Mstari 43:
[[fa:سومریان]]
[[fi:Sumer]]
[[fiu-vro:Sumõr]]
[[fr:Sumer]]
[[fy:Sumearjers]]