Port Louis : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: os:Порт-Луи; cosmetic changes
Mstari 13:
 
}}
[[ImagePicha:Port_Louis.jpg|thumbnail|left|250px|Port Louis: Barabara kuu ikielekea ikulu (nyuma)]]
[[Port Louis]] ni [[mji mkuu]] wa jamhuri ya [[Morisi]]. Ikiwa na wakazi 170,000 ni mji mkubwa wa taifa hili la visiwani katika [[Bahari Hindi]].
[[ImagePicha:Port_Louis_Museum.jpg|thumbnail|200px|Makumbusho ya Port Louis]]
[[ImagePicha:Mauritius-Port Louis.png|thumb|Mahali pa wilaya ya Port-Louis katika Morisi]]
 
Kiwanja cha kimataifa cha ndege cha Sir Seewoosagur Ramgoolam kipo 30 km kusini ya mji. Kutoka Port Louis kuna feri kwenda [[Saint Denis]] mji mkuu wa [[Réunion]].
 
Kuna viwanda vya nguo na vitambaa pia vya kemikali na madawa. Benki ziko nyingi. Kwa jumla Port Louis ni mji wa Afrika ambako wenyeji wana hali ya maisha iliyo juu kushinda miji mingine ya [[Afrika]].
* [http://www.mauritius.tours.online.fr/port.louis.htm]
 
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[CategoryJamii:Morisi]]
[[CategoryJamii:Port Louis| ]]
 
[[af:Port Louis]]
Mstari 72:
[[nov:Port Louis]]
[[oc:Port Louis]]
[[os:Порт-Луи]]
[[pl:Port Louis]]
[[pms:Port Luis]]