Mwamba (jiolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ga:Carraig
d roboti Nyongeza: io:Petro; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno]]
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko wa [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
 
Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya dunia ni hasa silikati na kabonati.
 
== Aina ya miamba ==
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
* mwamba wa mgando au mwamba wa kivolkeno unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda, kwa mfano [[itale]].
* mwamba mashapo hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika [[mmomonyoko]] na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
** aina ya pekee ni [[visukuku]] ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: [[makaa mawe]].
* mwamba metamofia ni mageuzi ya miamba ya awali -ama ya kivolkeno au ya mishapo- kwa njia ya kanieneo kubwa sana na joto kali kuwa aina mpya ya mwamba. [[Metamofosi (jiolojia)|Metamofosi]] kwa kawaida hutokea katika kina kubwa.
 
[[ImagePicha:Rockcycle.jpg|thumb|300px|'''Mzunguko wa miamba''': 1 = [[magma]] au [[lava]]; 2 = kuganda kwa magma; 3 = mwamba wa kivolkeno; 4 = mmomonyoko; 5 = mashapo; 6 = mashapo + mwamba mashapo; 7 = mwendo wa gandunia, kuzama kwa mwamba na metamofosi; 8 = mwamba metamofia; 9 = kuyeyuka kwa mwamba ulio chini kwenye koti ya dunia kuwa magma mpya.]]
 
== Mzunguko wa miamba ==
Miamba hubadilishwa umbo katika muda wa miaka mamilioni. Madini yao huingia katika hali mbalimbali ya mwamba.
 
* a) Mwamba wa kivolkeno hutokea kwa kuganda kwa magma au lava.
* b) Mwamba huu huvunjika kwa mmomonyoko na vipande vyake hubebwa na maji au upepo mahali vinapolala kama ganda la mashapo.
* c) Mashapo kukandamizwa kwa njia ya kanieneo na kuwa mwamba mashapo.
* d) Mwamba mashapo hufikia katika kina kubwa na kugeuzwa kwa njia ya metamofosi kuwa mwamba metamofia.
* e) Hata hii mwamba metamofia husukumwa na nguvu za [[gandunia]] kufika tena juu na kupatwa na mmomonyoko kuwa mwamba mashapo.
* f) Kila aina ya mwamba unaweza kumezwa na mwendo wa gandunia na kuyeyushwa tena kuwa magma.
 
== Meteori ==
[[Meteori]] ni mwamba wa pekee mwenye asili isiyo ya dunia yetu. Meteori nyingi zimejitokeza katika anga ya nje kutokana na mabaki ya mada ya nyota au pia kutokana na kuvunjika kwa sayari nyingine.
 
== Utamaduni ==
Mwamba ni muhimu katika utamaduni wa watu. Kihistoria vifaa vya kwanza vya kudumu vilikuwa vifaa vya mawe yaliyokatwa kuwa visu, shoka au nyundo. Wakati wa [[zama za mawe]] watu walikuwa hodari kutengeneza vifaa vya aina nyingi kutokana na mwamba.
 
Mstari 35:
Mawe ya thamani kama almasi hutafutwa na watu yakipendeza.
 
[[CategoryJamii:Jiolojia|!]]
 
[[Category:Jiolojia|!]]
 
[[an:Roca]]
Line 65 ⟶ 64:
[[hy:Լեռնային ապար]]
[[id:Batu]]
[[io:Petro]]
[[is:Berg]]
[[it:Roccia]]