Swali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Ukristo ni mfumo wa mapokeo kuhusu Mungu, Kristo na Mamlaka. Hii imeleta utamaduni wa Kanisa na waumini. Chimbuko la Ukristo ni kuwepo kwa mtu aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huk...
 
No edit summary
Mstari 5:
Musa alikuwa ni MMajia, yaani mtu mwenye maarifa, hekima na busara kutoka kwa Makuhani na Mamistiya wa Kimisri. Kwani Musa alilelewa katika nyumba ya kifalme ya Misri baada ya kuopolewa majini na kijakazi aliyeagizwa na malkia kufanya hivyo baada ya malkia kupewa taarifa ya mtoto wa kiisraeli aliyeonekana kutelekezwa. Naye malkia alivutiwa na uzuri wa mtoto na akaagiza atuzwe vizuri lakini abaki kuuishi katika jumba la kifalme. kama ililiyokuwa kztika siku zile; Musa alilelewa kwa mujibu wa desturi zote za koo za kifalme. Wenye Hekima na Maona kutoka kwenye nyanja mbali mbali za elimu na ilimu yaani maarifa ya jamii na maarifa ya ndani kuhusu siri za mbingu na Nchi. Naye Musa akajifunza mambo mengi kuhusu umistiya na majia yaani maarifa ya kubadili maumbo, sura na sifa ya vitu na hata Akili na Nafsi kwa kutumia ilimu ya njia za siri zenye kusababisha mabadiliko ambayo wengine wangeweza kuona kama ni mazingaombwe. Na hiyo ndiyo hekima halisi yaani Majia.
 
Naye Musa akiwa kama binadamu mwenye moyo wa uzalendo na kupenda asili yake; alikerwa na maisha ya kuona ndugu zake wa kiisraeli waiishi na kunyanyasika ughaibuni. Hivyo akakusudia kufanya hima awakomboe waisraeli kutoka kwenye mikono ya wamisri. Kutokana na matukio kadhaa yaliomsibu; Musa aliamua kwenye kuishi mpweke milimani akitafakari na kuzama kwenye ilimu na majia katika nia ya kutafuta Uweza utakao mwezesha kumpa nguvu ya kuwakomboa waisraeli. Kwa maarifa yake na majaribio yake pamoja utahayari wake; Musa alifanikiwa kukaribisha Uwepo mmoja uliokuja katika sura ya moto. Kuna elementi nne za msingi zinazowakilisha mbingu na nchi yaani mambo ya Juu na Mtu ama Dunia. Jua na Mwezi; Kama ilivyo ndivyo ilivyo chini. Musa alijua siri kutoka mamistiya wale wa siku alizokuwa akiishi kwenye Jumba la kifalme. Nazo hizo elementi ni Ardhi, maji, Hewa na Moto. Moto ikiwa ni nguvu yaa juu zaidi yenye kuweza kubadili vyote vyenye kufanyika kutokana na asili ya Ardhi na Hata Moto. Na hii ndo siri ya Musa kuwashinda wachawi na waganga wa kimisri wa siku zake aliporudi Kwa Mtawala wa kimisri na kutaka Uhuru wa watu wake. Mfalme wa kimisri alimapambanisha na hao, naye akawashinda. Hilo lilikuwa shauri la thibitisha hekima kuu kuzidi ya wamisri kwani miaka hiyo Hekima yenye kusababisha nguvu kuu ilikuwa ikisadikiwa kutoka kwa Mungu mkuu. Na kila jamii yenye wenye wenye Busara wao waliegemea na kusadiki yote walioambiwa nao ya kwamba yanatoka kwa Mungu wao. Hivyo taswira ya Mungu katika zama zile ubinafsishaji wa uweza mkuu katika kukinga na kustawisha jamii husika. Na hiyo ndio taswira ya kale ya Binadamu kuhusu yale yaliyo Juu. Kwani Majia wanajua kuna mambo ya chini na ya Juu. Binadamu yapoyupo ukingoni mwa ya chini katika kuchagua Mambo ya Mbingu ama Nchi. Musa aliwaeleza waisraeli habari za Mungu mkubwa mwenye kuwaongoza kuelekea kwenye ufalme mkuu... Lakini kwa kweli ile hakuwahaikuwa kweli kamili kwani matokeo yanaonekana hadi hii Leo. Musa hakuwa na jinsi. Watu wa kale walifaa kwa mambo ya kikale; ila moyoni mwake alijua ukweli kwamba nchi ya ahadi si mahala pa kufikia kwa namna ya nchi, bali ni kwa roho kwani mamajia wote wa zama zote walilifahamu hilehilo katika ngazi fulani utambuzi wao. Hivyo Musa, baadae, baada ya kuuona itachukua vizazi na vizazi kwa wana wa israeli kuelewa mambo ya kiroho, alitoa ahadi ya masiha na kukabidhi kwa waliomfuatia yaani viongozi wa waisraeli mara baada ya yeye kuamua kwenda zake milimani ambako ilidhaniwa alifia huko. na Ukweli hakuna kaburi lake hata huko milimani, na hakuna anayejuaaliyejua Musa alifia wapi hasa kwa siku zile.
 
Basi kuna mambo mengi yaliyotokea siku zile za wana wa Israeli kuuondoka Utumwani na kuelekea Nchi ya Ahadi. Miaka mingi ilipita na Musa alianza kukata tamaa na baadhi ya maelekezo kutoka kwa Mungu aliyempa uwezo aliianza kutokutii. Ilikuwa ni kana Kwamba kuna Kosa ambalo yeye wenyewe hakudhania wala kutegemea kuhusu ushirikiano wake na Mungu huyo. Hivyo jitahada ya pili ni kuandaa kuzaliwa kwa masiha, yaani mkombozi halisi. Naye atazaliwa na hatimaye kuwa nguvu kamili ya kuleta badiliko kutoka ndani yake. Yaani asiyetumia namna za nje kuleta mabadilika isipokuwa uwezo wa ndani. Yaani kufanyika. Hivyo siri ya masiha ilijulikana vizuri miongoni mwa manabii wengi israeli ambao kweli walijua maarifa mengi kuhusu jinsi kupata maono kupitia Njozi na hata utuliviu wa Akili ikienda sambamba na neema pia kiu yao ya kutumikia jamii kiroho. Hivyo, nabii Isaya ni mmoja aliyetoa tafsiri bora kabisa na ya moja kwa moja kuhusu Masiha katika kitabu chake lilichopo miongoni mwa vitabu vya Biblia; inayochukuliwa kwamba ni kitabu kitakatifu miongoni mwa Wakristo. Isaya 16:1-7 inazungumzia kuhusu Masiya atakaye zaliwa kutoka kwenye shina la Jesse. Naye Atakuwa mwenye Kuamua kwa busara isiyo kama ile ya watu wa kawaida. Naye ataamua kwa Haki. Tena baada ya Hapo, Nabii Isaya anazungumzia kuhusu Nchi Mpya na Mbingu yenye uzuri na Utukufu... Kitu ambacho kwa kweli hakikutokea. Kwani Siri ya Mbingu Mpya na Nchi Mpya hufuata Ufahamu uliobadilika kitu ambacho huuitwa Kuzaliwa tena Kiroho...