Swali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Asili ya Ukristo hasa ni matokeo ya uzaliwa wa Yesu, uliopekelewa miongoni mwa walioona kwamba yeye mi Masiya; yaani mkombozi. yeye alikuwa timilizo la ahadi za koo za mstari wa uzao wa manabii ulioanziwa na Musa. Musa alikuwa mwana matengenezo ya kijamii aliyewakomboa watu wa Israeli kutoka Utumwani misri takribani miaka 4000 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu. Musa alikuwa ni wa kwanza kutabiri kuja kwa masiha atakaye wakomboa waisraeli kutoka katika kile kilichofahamika kwa nje kama mwana kondoo ataye safisha mizigo ya dhambi na tena mpatanishi kati ya Mbingu na Nchi yaani Wanadamu na Mungu. Na kwamba kuja kwake ni agano Jipya. Kwani Musa aliikuwa ni wa kuaanzisha Agano lenye kutangulia; yaani la Kale. Hivyo Musa alikuwa kiongozi aliye kabidhi mifumo mingi ya nje na ndani kwa watawala na waamuzi waliomfuatia watakao shikilia Agano la kusubiri Masiya kushirikiana na Manabii na Makuhani.
 
Musa alikuwa ni MMajiaMmajia, yaani mtu mwenye maarifa, hekima na busara kutoka kwa Makuhani na Mamistiya wa Kimisri. Kwani Musa alilelewa katika nyumba ya kifalme ya Misri baada ya kuopolewa majini na kijakazi aliyeagizwa na malkia kufanya hivyo baada ya malkia kupewa taarifa ya mtoto wa kiisraeli aliyeonekana kutelekezwa. Naye malkia alivutiwa na uzuri wa mtoto na akaagiza atuzwe vizuri lakini abaki kuuishi katika jumba la kifalme. kama ililiyokuwa kztika siku zile; Musa alilelewa kwa mujibu wa desturi zote za koo za kifalme. Wenye Hekima na Maona kutoka kwenye nyanja mbali mbali za elimu na ilimu yaani maarifa ya jamii na maarifa ya ndani kuhusu siri za mbingu na Nchi. Naye Musa akajifunza mambo mengi kuhusu umistiya na majia yaani maarifa ya kubadili maumbo, sura na sifa ya vitu na hata Akili na Nafsi kwa kutumia ilimu ya njia za siri zenye kusababisha mabadiliko ambayo wengine wangeweza kuona kama ni mazingaombwe. Na hiyo ndiyo hekima halisi yaani Majia.
 
Naye Musa akiwa kama binadamu mwenye moyo wa uzalendo na kupenda asili yake; alikerwa na maisha ya kuona ndugu zake wa kiisraeli waiishi na kunyanyasika ughaibuni. Hivyo akakusudia kufanya hima awakomboe waisraeli kutoka kwenye mikono ya wamisri. Kutokana na matukio kadhaa yaliomsibu; Musa aliamua kwenye kuishi mpweke milimani akitafakari na kuzama kwenye ilimu na majia katika nia ya kutafuta Uweza utakao mwezesha kumpa nguvu ya kuwakomboa waisraeli. Kwa maarifa yake na majaribio yake pamoja utahayari wake; Musa alifanikiwa kukaribisha Uwepo mmoja uliokuja katika sura ya moto. Kuna elementi nne za msingi zinazowakilisha mbingu na nchi yaani mambo ya Juu na Mtu ama Dunia. Jua na Mwezi; Kama ilivyo Juu ndivyo ilivyo chiniChini. Musa alijua siri kutoka mamistiya wale wa siku alizokuwa akiishi kwenye Jumba la kifalme. Nazo hizo elementi ni ArdhiUdongo, maji, Hewa na Moto. Moto ikiwa ni nguvu yaa juu zaidi yenye kuweza kubadili vyote vyenye kufanyika kutokana na asili ya Ardhi na Hata Moto. Na hii ndo siri ya Musa kuwashinda wachawi na waganga wa kimisri wa siku zake aliporudi Kwa Mtawala wa kimisri na kutaka Uhuru wa watu wake. Mfalme wa kimisri alimapambanishaalimpambanisha na hao, naye akawashinda. Hilo lilikuwa shauri la thibitisha hekima kuu kuzidi ya wamisri kwani miaka hiyo Hekima yenye kusababisha nguvu kuu ilikuwa ikisadikiwa kutoka kwa Mungu mkuu. Na kila jamii yenyeilikuwa wenyena wenye Busara wao waliegemeawalioategemea na kusadiki yote walioambiwa naona wao, ya kwamba yanatoka kwa Mungu wao. Hivyo taswira ya Mungu katika zama zile ilikuwa ni ubinafsishaji wa uweza mkuu katika kukinga na kustawisha jamii husika. Na hiyo ndio taswira ya kale ya Binadamu kuhusu yale yaliyo Juu. Kwani Majia wanajua kuna mambo ya chini na ya Juu. Binadamu yupo ukingoni mwa ya chini katika kuchagua Mambo ya Mbingu ama Nchi. Musa aliwaeleza waisraeli habari za Mungu mkubwa mwenye kuwaongoza kuelekea kwenye ufalme mkuu... Lakini kwa kweli ile haikuwa kweli kamili kwani matokeo yanaonekana hadi hii Leo. Musa hakuwa na jinsi. Watu wa kale walifaa kwa mambo ya kikale; ila moyoni mwake alijua ukweli kwamba nchi ya ahadi si mahala pa kufikia kwa namna ya nchi, bali ni kwa roho kwani mamajia wote wa zama zote walilifahamu hilo katika ngazi fulani utambuzi wao. Hivyo Musa, baadae, baada ya kuuona itachukua vizazi na vizazi kwa wana wa israeli kuelewa mambo ya kiroho, alitoa ahadi ya masiha na kukabidhi kwa waliomfuatia yaani viongozi wa waisraeli mara baada ya yeye kuamua kwenda zake milimani ambako ilidhaniwa alifia huko. na Ukweli hakuna kaburi lake hata huko milimani, na hakuna aliyejua Musa alifia wapi hasa kwa siku zile.
 
Basi kuna mambo mengi yaliyotokea siku zile za wana wa Israeli kuuondoka Utumwani na kuelekea Nchi ya Ahadi. Miaka mingi ilipita na Musa alianza kukata tamaa na baadhi ya maelekezo kutoka kwa Mungu aliyempa uwezo aliianza kutokutii. Ilikuwa ni kana Kwamba kuna Kosa ambalo yeye wenyewe hakudhania wala kutegemea kuhusu ushirikiano wake na Mungu huyo. Hivyo jitahada ya pili ni kuandaa kuzaliwa kwa masiha, yaani mkombozi halisi. Naye atazaliwa na hatimaye kuwa nguvu kamili ya kuleta badiliko kutoka ndani yake. Yaani asiyetumia namna za nje kuleta mabadilika isipokuwa uwezo wa ndani. Yaani kufanyika. Hivyo siri ya masiha ilijulikana vizuri miongoni mwa manabii wengi israeli ambao kweli walijua maarifa mengi kuhusu jinsi kupata maono kupitia Njozi na hata utuliviu wa Akili ikienda sambamba na neema pia kiu yao ya kutumikia jamii kiroho. Hivyo, nabii Isaya ni mmoja aliyetoa tafsiri bora kabisa na ya moja kwa moja kuhusu Masiha katika kitabu chake lilichopo miongoni mwa vitabu vya Biblia; inayochukuliwa kwamba ni kitabu kitakatifu miongoni mwa Wakristo. Isaya 1611:1-7 inazungumzia kuhusu Masiya atakaye zaliwaatakayezaliwa kutoka kwenye shina la JesseYese. Naye Atakuwa mwenye Kuamua kwa busara isiyo kama ile ya watu wa kawaida. Naye ataamua kwa Haki. Tena baada ya Hapo, Nabii Isaya anazungumzia kuhusu Nchi Mpya na Mbingu yenye uzuri na Utukufu... Kitu ambacho kwa kweli hakikutokea. Kwani Siri ya Mbingu Mpya na Nchi Mpya hufuata Ufahamu uliobadilika kitu ambacho huuitwa Kuzaliwa tena Kiroho...
 
Yesu alizaliwa miaka kama 4000 baada ya Musa. Hiyo ni miaka kama 2000 ilipopita kwani kalenda huhesabu miaka kutoka mwaka wa kuzaliwa kwa Yesu na ndio mchango wa Ukristo uliotapakaa hapa duniani.
 
Kitabu cha Yohana, yaani Injili ya Yohana huunza na utangulizi wenye fumbo lenye maana kubwa. Ifahamike kwamba mwandishi wa Injili hiyo aliindika miaka mingi baada ya kufariki kwa Yesu hayumkini akizingatia yale aliyoyaona na kujifunza Kutoka kwa Yesu ambaye yeye alimtambua kwamba ni Kristo. Naye anaanza Injili kwa kuzungumzia Neno. Itambulike kwamba Neno ni like kinachotamkwa ama Sauti. Hii ina fanana na mafundisho mengi ya Mashariki yanasema kwamba ulimwengu ni mfanyiko wa Sauti na kwamba kila kitu ni mfano wa sauti yaani nishati fulani ya Nuru itetemayo. Hivyo ulimwengu wote wa sura yaani maada ni nishati inayobeba maksudi ya kuumba. Hivyo nishati hiyo ni yeye utashi na Hai. Utashi na Nia ni sifa Kiumbe hai kinachoweza kuwepo kama kizio yaani umoja. Hivyo asili ya Neno ni mwanzo na ni Mungu kwa maana Asili. Na hii ni siri ya mbingu na pia siri na ya wanadamu. Na huu ndo uzima anaozungumzia Yohana. Kwani mamistiya wanatambua kwamba Ufahamu ni nuru inayo ongoza nafsi katika safari ya kuelekekea Uzima usiokoma, yaani mwanzo na mwisho. Na huo utashi ni mwenge wenye kumfanya mtu atambue kati ya Aliyokwishayajua na yale Atakayoyajua katika kipindi ambacho anaishi na kuchagua na kutenda.
 
Pia Injili hiyo anamtaja mtu aliitwa Yohana. Yeye anasemwa kwamba alikuja ili aishuidie ile Nuru. Nuru ni kitu gani? Nuru isemwayo hapa ni ufahamu ushindao ule wa mwanadamu wa kawaida unakuja kwa kuzaliwa ndani ya mtu alijiandaa kuupokea. Ifahamike neno Kristo lina maana ya Jiwe. Ama kusema, mwamba wenye kupitisha Nuru kuu bila ya kupinga ama kusharabu. Ni alama ya usafi wa mpitisho wenye kuleta ufasha wa kuona yaani utambuzi. Ifahamike kwamba, hii inafanana na mafundisho ya Ubuddha uliotapakaa huko Tibeti ukitaja kuhusu Akili ya Almasi ya Buddha yenye uwezo wa kupenya na kuelewa siri zote za ulimwengu kutoka mwanzo na hata Mwisho.
 
Yohana alitabiriwa katika Malachi 4:4 kwambwa atakuja Eliya nabii kabla ya haijaja siku ya Bwana... Na wafuasi wa Yesu walimuuliza Yesu kuhusu huyo Eliya ni Yohana mbatizaji, aliyekamatwa na kufungwa na Herode kwa matakwa ya binti Herodi? Naye Yesu akazia kwamba ndivyo katika Yohana 11:14. Sasa inawezekanaje kwamba yule Eliya nabii kuwa ni Yohana. Hiki ni kati ya vielelezo adimu vilivyomo kwenye Biblia vyenye kuonyesha kwamba Roho ya mtu huweza kutwaa mwili tena na kuzaliwa kupitia tumbo la mwanamke. Inasadikika injili za mwanzo zilikuwa na mifano mingi ambapo Yesu mwenyewe alizungumza hivyo wazi wazi kwa wanafunzi wake. Ndio maana kuna wakati walimuuliza kama mtu kuzaliwa na mapungufu kimaumbile ni matokeo ya dhambi alizotenda kabla kuzaliwa mahala pengine(?). Hivyo Yohana aliishi na kuenenda na roho ya Eliya yule yule alipata kuwepo siku za Nyuma. Hii ni dalili ya kwamba roho hupitia mzunguko wenye kubeba tohara na mafunzo na kutakasika kufikia kioo madhubuti cha Utukufu wa Uliondani, yaani utukufu wa mbingu. Upande wa majia wa maisha ya hapa duniani ni wenye kuweza kuleta majia na hata kubadili hali mbaya za masumbuko na kukata tamaa kuwa utukufu wa juu usio na kasoro. Hivyo siri ya Kristo ni kuleta mbingu mpya na nchi mpya kupitia kiungo cha kristo. Ndio maana Neno; katika utangullizi wa Yohana una sura mbili Yesu kama binadamu na Yesu aliye Kristo yaani aliyezaliwa mara ya pili kwa roho. Na yeye Yohana mwandishi anakili alimwona Yesu kama neno halisi atokaye kwa Mungu na tena aliyejaa neema na Kweli ( Yohana 1:1-14 ).
 
Ahadi ya Musa kuhusu Kristo ilikuwa ni yenye kutegemea sana Wana wa Israeli watampokeaje Masiha. Ikiwa watambua; basi agano lake lingelitimilizwa na mambo ya kale yangelilikoma. Na kama hawatamtambua basi wataamshambulia kama msaliti wa mifumo ya Musa yaani Torati. Lakini wale watakaompokea wanakuwa ndio walengwa halisi... Nao watalikuwa ndio wateule wenye kurithi nchi ya kweli ya ahadi, ufalme wa kweli(Yohana 1:11). Wengi walimkataa masiha, na hiyo ikawa ndo laana na mikosi kwa waisraeli hadi hii leo. Waisraeli walivamiwa na kupelekwa uhamishoni nje ya nchi yao ambayo kwa karne nyingi imeshikiliwa na wageni na wavamizi. Miaka mingi imepita lakini bado hakuna amani yerusalemu.
 
'''MAFUNDISHO YA YESU:'''