Iodini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ur:Iodine
d roboti Badiliko: hi:आयोडिन; cosmetic changes
Mstari 11:
| densiti husianifu =
| kiwango cha kuyeyuka= 386.85 K (113.7 [[°C]])
| kiwango cha kuchemka= 457.4 K (184.3  °C)
| kiwango utatu =
| % ganda dunia = 6 · 10<sup>6</sup> %
Mstari 19:
'''Iodini''' (kut. [[Kigiriki]] "Iodes" (ιώο-ειδης) "rangi ya dhambarau" kutokana na mvuke) ni [[elementi]] yenye [[namba atomia]] '''53''' katika [[mfumo radidia]] maana yake [[kiini atomia]] chake kina [[protoni]] 53. [[Uzani atomia]] ni 126.904 na alama yake ni '''I'''. Ni elementi ya nne katika safu ya [[halojeni]].
 
== Tabia ==
Katika hali sanifu ni [[mango]] ya [[fuwele]] yenye rangi nyeusi-kijivu. Huanza kuvukamanga kuwa gesi kwa halijoto ya chumbani tayari. Kupata iodini kiowevu inawezekana kwa kuikanza haraka hadi kufikia kiwango cha kuyeyuka cha 113.7 &nbsp;°C.
 
== Upatikanaji ==
Iodini yapatikana kwa wingi katika maji ya bahari pia katika madini mbalimbali.
 
== Iodini na tezi ya shingo ==
Mwili wa kibinadamu huhitaji iodini; kwa kawaida viwwango vya kutosha hupatikana katika chakula cha kawaida. Isipokuwa katika maeneo kadhaa hasa mlimani uhaba wa iodini asilia husababisha magonjwa kama [[tezi ya shingo]].
 
== Matumizi ==
Matumizi yake ni katika madawa (hasa [[antiseptika]]), viungo vya chakula, rangi na kemia za kusafisha picha.
 
Iodini katika maji ni dawa antiseptika inayozuia maambukizo wa vidonda.
 
=== Uhaba wa iodini na matatizo yake ===
Watu wanahitaji kiasi kidogo cha iodini kwa miili yao na kwa kawaida wanakipata kupitia chakula au maji. Lakini katika maeneo pasipo na iodini katika mazingira asilia watu wanaona uhaba wa iodini unaosababisha maradhi kadhaa; matezi ya shingoni ni dalili la uhaba huu. Watoto wanaozaliwa na wakina mama wenye uhaba wa iodini hutokea mara nyingi kama vibete (watu wafupi). Pia akili za watoto wa wakinamama hao inaweza kupungukiwa. Mtoto aliyeathiriwa na uhaba huu haufikii kiwango cha akili kama watoto wengine.
Mstari 42:
<gallery>
Image:Iod kristall.jpg|Fuwele ya Iodini gramu 0.1
</gallery>
 
[[Jamii:Halojeni]]
 
[[CategoryJamii:HalojeniElementi]]
[[Category:Elementi]]
 
[[af:Jodium]]
Line 77 ⟶ 76:
[[hak:Tièn]]
[[he:יוד]]
[[hi:आयोडिन तत्त्व]]
[[hr:Jod]]
[[ht:Yòd]]