Swali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
 
'''MAFUNDISHO YA YESU:'''
 
Kuzaliwa Mara ya Pili na Ufalme wa Mungu
 
Alipokuwa akihudhuria Sikukuu ya Kupitwa ya mwaka 30 W.K Yesu alifanya ishara za kustaajabisha, au miujiza. Matokeo ni kwamba, watu wengi wanamwamini. Nikodemo, mshiriki mmoja wa baraza la Sanhedrini, ambayo ilikuwa ni mahakama kuu ya Kiyahudi, anavutiwa na kutaka kujua kujua zaidi kuhusu siri ya miujiza ujumbe kutoka kwa Mungu; kwani yeye alihamasika kama ishara zile hutoka kwa Mungu. Yesu akajibu na kwamba hakika mtu hawezi kuingia ufalme wa Mungu ( Ufalme wa Mbingu ) pasi kazaliwa mara ya pili. Kwa Maji na Roho... (tazama elementi za kimajia) Pia akamueleza kuhusu siri ya Kristo kuwa mpatanishi wa ulimwengu wa dhambi na Mbingu (Kristo kama Mwana wa Ukweli wa Siri za Juu na Chini). Na kwamba kila ageukia Kristo hatapotea, bali atarithi uzima wa milele ambao ndio asili ya mbingu. Nchi ili hutegemea mbingu, nayo nchi bila Nuru ya mbingu ni upungufu wa utukufu, yaani dhambi ya asili, Anguuko la Edeni.