Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari"

12 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
nyongeza China
d (robot Adding: gl:Emperador)
(nyongeza China)
[[Image:Ingres, Napoleon on his Imperial throne.jpg|thumb|120px|<small>Mtawala wa [[Ufaransa]] [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la Kaisari 1804</small>]]
[[Image:Bokassa.jpg|thumb|120px|Kaisari Bokassa 1977]]
 
 
'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya [[Kijerumani]].
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesarmacaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).
 
==Nje ya Ulaya==
Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], mtwalaTenno wa [[Japani]], Huangdi wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwahutajwa kwa cheo cha "Kaisari".
 
Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaisari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].