Gifted Hands, The Ben Carson Story : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Riwaya ya '''''Gifted Hands, The Ben Carson Story''''' ni hadithi ya kweli inayohusu maisha ya Daktari mtaalamu wa Nyurolojia [[Ben Carson]] Katika kitabu hiki, Carson anaelezea historia yake kuanzia alivyokuwa mtoto katika eneo la [[Detroit]] hadi wakati akiwa mkurugenzi wa idara ya watoto ya Nyurolojia katika Hospitali ya Johns Hopkins akiwa na umri wa miaka 33.
Kitabu hiki kilichapishwa na kutoka mwaka 1996 kikiwa kimetengenezwa na mwandishi maarufu Cecil Murphy.
 
Mstari 35:
Anaendelea katika kitabu cha "Think Big"
 
===Mrejeo===
#ISBN 0-310-21469-6