44,152
edits
d (roboti Nyongeza: th:ดาการ์) |
Xqbot (majadiliano | michango) d (roboti Nyongeza: qu:Dakar; cosmetic changes) |
||
}}
[[
[[
'''Dakar''' ni [[mji mkuu]] wa [[Senegal]] ikiwa na wakazi 2,352,000. Iko kwenye rasi la Verde ambalo ni pembe la magharibi ya [[Afrika]]. Bandari yake ina nafasi nzuri kwa biashara na [[Ulaya]] na [[Amerika]].
Kisiwa cha Goree ambacho sasa ni sehemu ya mji kilikuwa kati ya vituo muhimu ya [[biashara ya watumwa]]. Boma la Fort D'Estrees [[Gorée]] kisiwani ilikuwa gereza la watumwa kabla ya kupelekwa kwenye meli na leo ni makumbusho.
== Walizaliwa Dakat ==
* [[Youssou N'Dour]], mwimbaji ya mwanamuziki
* [[Patrick Vieira]], mchezaji mpira wa miguu Mfaransa
[[
[[
[[
[[
[[af:Dakar]]
[[pnb:ڈا کار]]
[[pt:Dakar]]
[[qu:Dakar]]
[[ro:Dakar]]
[[roa-rup:Dakar]]
|