Chuo Kikuu cha Al-Azhar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: el:Πανεπιστήμιο του Αζχάρ; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Al Azhar1.jpg|thumb|250px|Al-Azhar]]
[[ImagePicha:456px-Le Caire (Égypte) - La mosquée al-Azhar au début du XXe siècle.jpg|thumb|250px|Msikiti ya Al-Azhar]]
''Chuo Kikuu cha Al-Azhar''' ([[Kiarabu]]: جامعة الأزهر jamiʿat al-azhar kwa heshima ya Fatima Zahra binti ya Mtume Muhammad) katika [[Kairo]] ([[Misri]]) ni chuo kinachoheshimiwa kati ya Waislamu wa dhehebu la Sunni kama kitovu cha elimu ya kidini. Baada ya chuo cha [[Al-Qairawin]] mjini [[Fez]] ([[Moroko]]) ni [[chuo kikuu]] cha kale duniani kinachoendelea hadi leo hii.
 
Al-Azhar imejulikana hasa kama chuo cha kiislamu lakini leo hii kuna idara nyingi kama vile madhab (sheria ya kiislamu), lugha ya [[Kiarabu]], tiba, ualimu, uhandisi na nyengine.
== Historia ==
Al-Azhar kilianzishwa wakati wa [[khalifa|makhalifa]] [[Wafatima]] (wa Shia) kama chuo cha [[sharia]] kando la msikiti ya Al-Azhar iliyojengwa mwaka [[969]] [[BK]]. Mwaka 975 mafundisho ya sheria ya Kiislamu yalianzishwa. [[Madrasa]] ya kufundisha [[kalam]] ([[theolojia]] ya kiislamu) ilianzishwa mwaka [[988]] BK. Baada ya mwisho wa utawala wa Wafatima mwelekeo wa chuo kilikuwa cha Kisunni. Baada ya anguko la [[Waabbasi]] kutokana na kutwaliwa na [[Baghdad]] na Wamongolia mwaka [[1258]] Al-Azhar ilikuwa kitovu cha elimu ya Kisunni katika dunia ya Kiislamu ikabaki hivyo hadi leo.
 
Mstari 11:
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.azhar.edu.eg/ Tovuti rasmi ya Chuo Kikuu cha Al-Azhar]
* [http://www.azhar.edu.eg/News.html Maktaba ya Al-Azhar]
Mstari 18:
* [http://www.muslimheritage.com/islamonline/topics/default.cfm?ArticleID=161 muslimheritage.com/islamonline/topics]
 
[[CategoryJamii:Vyuo vikuu vya Misri]]
 
[[ar:جامعة الأزهر]]
Mstari 25:
[[cs:Univerzita al-Azhar]]
[[de:Al-Azhar-Universität]]
[[el:Πανεπιστήμιο του Αζχάρ]]
[[en:Al-Azhar University]]
[[eo:Al-Azhar-universitato]]