Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: af:Astrologie
nyongeza kidogo; bado tayari
Mstari 1:
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''') ni elimumafundisho juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] jinsina zinavyoonekanamaisha kwahapa machoduniani. pamojaWafuasi nawa jaribiounajimu la kuona uhusiano katihutangaza ya kwamba nyota nazinaathiri mambomaisha kwenye duniaya yetuwatu na katikamatukio maishakama yaamani, vita au binadamumaafa.
 
Kuna aina nyingi za unajimu; wengine wanatka kugundua mwendo wa dunia na [[utabiri]] wa mambo yajayo, wengine wanaamini ya kwamba wanaweza kutambua tabia ya mwanadamu kutokana na hali ya nyota wakati wa kuzaliwa kwake, wengine wanaona nyota kama alama za miungu.
 
Kuna aina nyingi za unajimu:
* wengine wanataka kugundua mwendo wa dunia na [[utabiri]] wa mambo yajayo
* wengine wanaamini ya kwamba tabia za mwanadamu zinatokana na hali ya nyota wakati wa kuzaliwa kwake
* wengine wanaona nyota kama alama za miungu au nguvu za mbinguni.
== Tofauti ya unajimu na falaki ==
Unajimu ni tofauti na [[falaki]] ingawa zote mbili zilianza na kuendelea pamoja kwa karne nyingi. Tangu mwanzo wa [[sayansi]] ya kisasa wataalamu walitambua tabia za nyota kuwa magimba ya angani yenye sifa za ki[[fizikia]] sio pepo, roho au miungu zinazoweza kutawala dunia au wanadamu. Kwa hiyo njia za unajimu (astrolojia) na falaki (astronomia) zimeachana tangu karne kadhaa.
 
== Asili ya unajimu ==
Tangu mwanzo wa historia wanadamu katika sehemu mbalimbali za dunia walitazama nyota wakitambua nyota zinaonekana tofauti na mwendo wa majira. Walitambua pia uhusiano kati ya kuonekana kwa nyota mbalimbali na kutokea kwa mambo yaliyo muhimu kwa maisha ya kibinadamu. Kwa mfano kuonekana kwa nyota fulani (hii inategemea mahali duniani) inaweza kuwa alama ya kwamba mvua ni karibu, au majira ya baridi inaanza.
 
Kwa mfano kuonekana kwa nyota fulani (hii inategemea mahali duniani) inaweza kuwa alama ya kwamba mvua ni karibu, au majira ya baridi inaanza. Sababu yake ni ya kwamba nyota huonekana kwa vipindi fulani wa mwaka tu; wakati wa miezi mingine zingeonekana wakati wa mchana ambako nuru ya jua inaficha nyota zote hazionekani tena. Masaa za usiku kuna vipindi ambako nyota fulani zinaonekana vizuri angani juu kabisa na kwa njia hiyo zinaweza kutambuliwa kama ishara za majira.
 
Watu wa kale walikuwa hodari sana kutazama nyota na kutambua mabadiliko yao katika mwendo wa wakati. Hali hii haieleweki kirahisi na watu wa leo waliozoea nuru ya taa za umeme wakitumia wakati wa usiku kutazama TV au kompyuta. Lakini kwa watu wa kale -jinsi ilivyo hadi leo kwa watu wengi vijijini au porini- nyota na mwezi zilikuwa taa hasa wakati wa usiku.
 
UhusuianoUhusiano ulioonekana kati ya mabadiliko ya nyota na mabadiliko ya majira yalianzisha elimu ya [[kalenda]] pamoja na elimu ya unajimu na falaki.
 
Kwa wazee hawa ilikuwailionekana wazi ya kwambakama nyota fulani inatawala majira, hali ya hewa na hivyo maisha ya kibinadamu kwa sababu maisha ya jamii yalitegemea majira na mwendo wa mvua, ukame, baridi au joto. Hapo ni asili ya kuziangalia nyota kama miungu au pepo zazenye enziuwezo fulani. Hasa tabia ya hali ya hewa ya kuchelewa au kuwahi kidogo ilijenga imani ya kwamba kuchelewa kwa mvua ni dalili ya hasira ya mungu yule anayeonekana kama nyota fulani.
 
==Horoskopi==
Kati ya mbinu za unajimu zinazojulikana sana duniani ni horoskopi. Chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" magazeti mengi huchapisha namna za utabiri wa kila wiki kwa watu kufuatana na tarehe zao za kuzaliwa.
 
Kwa wazee hawa ilikuwa wazi ya kwamba nyota fulani inatawala majira, hali ya hewa na hivyo maisha ya kibinadamu kwa sababu maisha ya jamii yalitegemea majira na mwendo wa mvua, ukame, baridi au joto. Hapo ni asili ya kuziangalia nyota kama miungu au pepo za enzi. Hasa tabia ya hali ya hewa ya kuchelewa au kuwahi kidogo ilijenga imani ya kwamba kuchelewa kwa mvua ni dalili ya hasira ya mungu yule anayeonekana kama nyota fulani.
* [http://www.best-astrologyinfo.com/index.php Astrology Zodiac]
{{mbegu}}