Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fa:تانگانیکا; cosmetic changes
masahihisho madogo
Mstari 7:
Jina hili limekuwa kawaida baada ya [[vita kuu ya kwanza ya dunia]] wakati [[Uingereza]] ulipata utawala juu ya nchi.
 
Tanganyika ilikuwa sehemu kubwa ya koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] kasoro maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]].
 
Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia koloni hii ya Kijerumani ilitekwa na jeshi za Uingereza na [[Ubelgiji]]. [[Mkataba wa Versailles]] ulikuwa na kanuni za kuchukua koloni zote za Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yaliyokabidhiwa mkononi mwa Ubelgiji.
Tanganyika imekabidhiwa kwa [[Uingereza]] na [[Shirikisho la Mataifa]] 1920 baada ya vita vikuu ya kwanza wakati [[Ujerumani]] imepotea koloni zake zote.
 
Tanganyika iliendelea kutawaliwa na Uingereza kama [[nchi lindwa]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]] tangu mwaka 1920.
 
Waingerezea waliamua kutumia jina ya Tanganyika kwa ajili ya eneo hili kutokana na [[Tanganyika (ziwa)|ziwa kubwa]] ambalo ni mpaka wa mashariki wa eneo lake.