Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 44:
 
Tergat alimaliza katika nafasi ya sita (muda wa 2:08:06) katika mbio ya London katika mwezi wa Aprili 2007. Katika mbio hiyo kulikuwa na Haile Gebrselassie wa Ethiopia, ambaye aliacha kukimbia baada ya kilomita 30. Martin Lel wa Kenya ndiye aliyeshinda mbio hiyo katika muda wa 2:07.42, baada ya mbio kali hapo mwisho.
[[Picha:tergat3.jpg|thumb|400px|left|Mojawapo wa mashindano kali kati ya[[Haile Gebrselassie]] na Paul Tergat]]
 
Tarehe 30 Septemba 2007,mwanariadha wa Ethiopia Haile Gebrselassie alivunja rekodi ya Tergat ya muda wa 2:04.55, alipokamilisha mbio ya Berlin katika muda wa 2:04:26. Muda mfupi baada ya kumaliza mbio, Gebrselassie alimwomba Tergat amwie radhi kwa kuvunja rekodi yake(alipopigiwa simu ya kuambiwa hongera na Tergat). Gebrselassie baadaye alielezea, "Niwie radhi - hii ni rekodi ya Paul Tergat," Gebrselassie aliwaambia wanahabari katika mkutano wa habari. "Paulo ni rafiki yangu,"alisema Haile.