Traveler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 42:
 
==Muhtasari==
Tamthiliya inaanzia kwa Jay Burchell na Tylor Fog, wahitimu wa Yale University waliojikuta wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa makumbusho ya Drexler, [[New YorkCityYork City|New York]]. Inaonekana rafiki yao, Will Traveler (p.a.k Daniel Taft) amewachezea shere waonekana ni magaidi waliohusika na ulipuaji. Baada ya mlipuko, Traveler anatoweka na hakuna ushahidi wowote unaodhihirisha uwepo wake duniani.
 
Jay na Tyler wanawakimbia [[Federal Bureau of Investigation|FBI]], sababu inayopelekea waonekane kuwa magaidi wazalendo. Wanamkimbilia baba wa Tyler, Carlton, lakini anawashauri watokomee. Wakiwa nje ya mji wao, Jay na Tyler wanachunguza maisha ya nyuma ya Will Traveler wakitumai kuambulia chochote kusafisha majina yao.