Wachuuzi wa Data (Soko la Hisa la Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
* Ripoti ya mwisho wa mwaka ya makampuni

=== Orodha ya Wachuuzi wa Data ===
Jedwali lifwatalo laonyesha makampuni ya uchuuzi wa data nchini Kenya.
{| class="wikitable" border="1"
Mstari 31:

| '''Royal Media Services'''
Communication Centre,Barabara ya Maalim Juma,Off
Barabara ya Dennis Pritt
Sanduku la Posta 7468-00300 Nairobi,Kenya
Simu: + 254 (0) 202721415/6,2718506/7
Nukunishi: + 254 (0) 202724220,2724 211
Simu ya Rununu: +254 (0) 722-202305/ 0735-969696,
Barua Pepe:citizen@royalmedia.co.ke

| row 5, cell 5

== Taratibu ya Toleo Jipya ya Hisa ==
Taratibu ifwatayo hutumika ili kusajili kampuni katika soko la hisa kupitia toleo jipya la hisa:
* Kampuni inayotaka kujisajili kwenye soko huomba idhini kutoka kwa CMA ([[Capital Markets Authority]])
* Baada ya kupata idhini, [[Benki ya Uwekezaji]] huchaguliwa kuongoza toleo hilo
* Taratibu ya ununuzaji kama vile nambari ya hisa mtu anaweza kununua hutangazwa kwa umma
* Walio na nia ya kununua hisa hizo katika umma huwasilisha maombi yao ya hisa kwa kujaza fomu an kuwapa mabroka wao. Hii huendelea hadi siku ya kufungwa kwa kupokea maombi ya hisa
* Maombi yaliyosajiliwa hupitiwa na kisha idadi ya hisa zilizoitishwa hutangazwa kwa umma. Kama idadi hii imepita hisa zilizosajiliwa na kampuni, waliojaza fomu za kununua hisa hawatapata hisa zote walizoomba.
* Hisa huanza kubadili katika soko baada ya kila mtu kupewa hisa alizoomba nao wale waliopewa hisa ndogo ya hile walioyoomba hurudishiwa fedha zao.

== Angalia pia ==
*[[Soko la Hisa la Nairobi]]
*[[Uchumi wa Kenya]]
*Toleo_Jipya_la_Hisa_(Kenya)
*[[Toleo Jipya la Kengen]]
*[[Toleo Jipya la Access Kenya]]

== Viungo vya nje ==