Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

nyongeza, kuragisisha lugha
d (Aliulinda "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)" ([edit=autoconfirmed] (indefinite) [move=autoconfirmed] (indefinite)))
(nyongeza, kuragisisha lugha)
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000">
[[Picha:Hariri-ukurasa-huu.PNG|350px|right|Bonyeza "hariri" kubadili makala]]
UkitoaUnaweza kurasakuhariri chachekila [[Wikipedia:Makalaukurasa zinazolindwa|zinazolindwa]]katika wikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazina nafasi hii.)''
 
Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kufanya masahihisho, kuongezea au kuondoa habari kwenye makalakuhariri. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu habari zisizo na uthebitisho kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa. Pia ni ushauri mwema kwana kutafuta majadilano kwenye ukurasa wamajadilano kama unataka kuleta mabadiliko makubwa hasa ukiona mwandishi aliyetangulia alikosea na wewe unatarajia kuleta habari za kinyume. Kujadiliana kwanza inasaidia kuepukana na [[wikipedia:Vita ya uhariri|vita ya uhariri]].
 
Nenda kwa [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa mwongozo.