Ray Steadman-Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:rayallen.jpg|thumb|left|Ray Steadman-Allen]]
== Historia ==
 
Line 17 ⟶ 18:
Yeye,mara kwa mara, alishiriki kama Kiongozi wa Bendi katika kipindi maarufu cha ''Sounding Brass'' kilichowasilishwa na Gloria Hunniford na Owen Spencer-Thomas katika Radio 2 na Radio London katika miaka ya 1970.
 
Yeye aliandika kitabu kinachoitwa ''Colour and Texture in the Brass Band Score'' [[Picha:raybook.jpg|thumb|right|Kitabu alichokiandika,''Colour and Texture in the Brass Band Score'',Ray Steadman-Allen]]ambayo iliyochapishwa na Jeshi la Wokovu. Kilichapishwa kwa mara ya kwanza 1980 na kikakuwa na vichapisho vingi sana baadaye baada ya kutakwa sana na watungaji, waandalizi na idara za muziki za vyuo vikuu.
 
Mbali na zaidi ya makala ya bendi 200 yaliyochapishwa na Jeshi la Wokovu,aliandika idadi kubwa ya nyimbo,makala ya mabendi na maandalizi katika mpangilio wa kuandika na mkono.