Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
jamii na interwiki.
Mstari 1:
[[Picha:tergat1.jpg|thumb|Mwanariadha maarufu wa Kenya]]
 
'''''Paul Kibii Tergat'''''(alizaliwaamezaliwa [[17 Juni]], [[1969]]) ni mwanariadha maarufu wakutoka nchini [[Kenya]]. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007, akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmojawapommoja wakati ya wakimbiaji waliofanikiwabora kabisawa kwamuda wote.
Katika hali ya kuzingatia mbio ya masafa marefu tu,Tergat ameshinda tuzo nyingi na kuweka rekodi kadhaa za dunia kwenye uwanja,kwenye mbio za nchi kavu na hata kwenye barabara ya lami. Alipewa jina la utani la "Gentleman",Tergat ni mtu wa kufanya bidii katika kazi zake na hujipa motisha sana. Yeye huishi na hufanya mazoezi yake ya mbio [[Ngong]],karibu na jiji la [[Nairobi]].
 
 
== Maisha Yake ya Awaliawali ==
Paul Tergat alizaliwa tarehe 17 Juni, 1969 katika [[Riwo]], wilaya ya [[Baringo]] katika mkoa wa [[Bonde La Ufa]] nchini [[Kenya]].
 
 
 
== Kazi ==
Line 51 ⟶ 47:
 
Katika mwaka wa 2009, yeye alishinda mbio ya Lake Biwa katika [[Ujapani]], kwa muda wa 2:10:22. Mnamo Oktoba 2009, yeye alikuwa mgeni rasmi katika kuzindua Mbio ya [[Belgrad]] ya Kihistoria. Ingawa hakushinda kamwe mbio zozote kaika miaka ya 1990, alikuwa mshindani pekee kukimbia katika mbio zote nne na kumaliza katika nafasi tatu za kwanza kila mara. Alisema nia yake ilkuwa kufunga kazi yake katika mbio hiyo na akasifiwa njia iliyokuza utamaduni wa Serbia.
 
 
 
 
 
=== Tuzo ===
Line 174 ⟶ 166:
{{DEFAULTSORT:Tergat, Paul}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1969]]
[[Jamii:Watu wanaoishiWalio Hai]]
[[Jamii:Wanariadha Wakenyawa wanaokimbia umbali mrefuKenya]]
[[Jamii:WanariadhaWanamichezo katikawa Olimpiki ya 1996Kenya]]
 
[[Jamii:Wanariadha katika Olimpiki ya 2000]]
[[da:Paul Tergat]]
[[Jamii:Wanariadha katika Olimpiki ya 2004]]
[[de:Paul Tergat]]
[[Jamii:Wanariadha wa Olimpiki wa Kenya]]
[[es:Paul Tergat]]
[[Jamii:Wakenya waliopata medali ya fedha katika Olimpiki]]
[[fr:Paul Tergat]]
[[Jamii:Wanaoshikilia rekodi za dunia]]
[[gd:Paul Tergat]]
[[ko:폴 터갓]]
[[it:Paul Tergat]]
[[nl:Paul Tergat]]
[[ja:ポール・テルガト]]
[[no:Paul Tergat]]
[[nn:Paul Tergat]]
[[pl:Paul Tergat]]
[[pt:Paul Tergat]]
[[sk:Paul Tergat]]
[[fi:Paul Tergat]]
[[sv:Paul Tergat]]