Kizima moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh-yue:滅火筒
d roboti Badiliko: da:Ildslukker; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:FireExtinguisherABC.jpg|thumb|right|170px|Kizima moto chenye dawa la unga]]
[[ImagePicha:Television-en-feu-p1010042.jpg|thumb|right|170px|Kizima moto chenye CO<sub>2</sub> chazima TV inayowaka]]
 
'''Kizima moto''' ni chombo kinachotoa [[kiowevu]], [[gesi]] au dawa la unga vinavyozuia mwako na kuzima moto. Giligili ndani yake huntunzwa kwa shindikizo inatoka kwa mbio kama [[vali]] yake inafunguliwa.
 
== Madawa ya pekee kwa aina za moto ==
Madawa ndani ya kizimamoto hutofautiana kulingana na aina ya moto inayotakiwa kuzimwa.
* [[Maji]] hufaa kwa moto ya ubao, karatasi, makaa, vitambaa, matairi na aina kadhaa za plastiki kwa hiyo kwa moto ya kawaida katika nyumba pasipo na vifaa vikubwa vya umeme. Haifai kwa moto ya vifaa vya umeme au petroli na mafuta.
Mstari 13:
Katika ghala au penye mashine kuna pia mitambo ya kuzima moto yasiyobebwa lakini yametengenezwa mahali penye hatari yakiwaka otomatia kwa kutumia vifaa vya kupima joto, gesi n.k.
 
[[categoryJamii:Mitambo ya usalama]]
 
 
[[category:Mitambo ya usalama]]
 
[[ar:مطفأة حريق]]
Line 21 ⟶ 19:
[[ca:Extintor]]
[[cs:Hasicí přístroj]]
[[da:BrandslukkerIldslukker]]
[[de:Feuerlöscher]]
[[en:Fire extinguisher]]