Kiuzbeki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fo:Usbekiskt (mál); cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kiuzbeki''' ni moja ya [[lugha za Kiturki]] za mashariki na lugha ya Kiturki yenye wasemaji wengi katika [[Asia ya Kati]].
 
Kwa lugha yenyewe kuna majina "O‘zbek tili" kwa [[mwandiko wa Kilatini]], "Ўзбек тили" (uzbek tili) kwa [[mwandiko wa kikirili]]; au "ئۇزبېك تىلى" (o'zbek tili) kwa [[mwandiko wa Kiarabu]].
 
== Wasemaji ==
Kiuzbeki ni lugha rasmi nchini [[Uzbekistan]] ambako kuna wasemaji milioni 21.
 
Wasemaji wengine wa lugha hii wako [[Tajikistan]] (milioni 1.2), [[Afghanistan]] (milioni 1), [[Kyrgyzstan]] (550,096), Kazakhstan (332,017) na [[Turkmenistan]] (317,333).
 
== Mwandiko ==
Tangu uenezaji wa [[Uislamu]] Kiuzbeki iliandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]].
 
[[Mapinduzi ya kibolsheviki]] yalileta [[mwandiko wa Kilatini]] kati ya 1929 na 1940 kwa kuiga mfano wa [[Uturuki]]. Lakini tangu 1940 siasa ikabadilika tena na lugha ikahamishwa kwa [[mwandiko wa kikirili]] kama [[Kirusi]].
 
Tangu uhuru wa mwaka [[1991]] mipango ilijadiliwa kurudi kwa mwandiko wa Kilatini. Azimio lilifanywa 1995 kutumia [[alfabeti]] ya Kilatini. Lakini hadi sasa mwandiko wa Kikirili bado unapatikana. Waislamu wengine wameendelea kutumia herufi za Kiarabu.
Mstari 17:
Shule zinatakiwa kufundisha miandiko yote mitatu ili vijana waweze kuendelea kusoma maandishi ya miaka ya nyuma.
 
[[CategoryJamii:Lugha za Kiturki]]
[[CategoryJamii:Uzbekistan]]
 
[[am:ዑዝበክኛ]]
Mstari 42:
[[fa:زبان ازبکی]]
[[fi:Uzbekin kieli]]
[[fo:Usbekiskt (mál)]]
[[fr:Ouzbek]]
[[ga:An Úisbéiceastáinis]]