Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
kiungo msaada:picha
Mstari 59:
 
Jaribu kutafuta majina ya kikamusi; usiweke kiungo kwa "biashara haribifu ya watumwa". Jina la kikamusi ni "biashara ya watumwa".
 
==Viungo vya picha==
Picha au michoro huonekana katika makala kwa njia ya viungo. Kwa maelezo zaidi soma
'''[[Msaada:Picha]]'''
 
==Wakati wa kuunga==