Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Picha''' zinapendeza. Si mapambo tu kwa ajili ya makala zinasaidia pia kuelewa jambo vizuri zaidi linajojadiliwa katika makala. Ukurasa huu unakusaidia kuchagua na kuingiza pi...'
 
No edit summary
Mstari 25:
 
==Wapi kupata picha==
 
===Picha ze wikipedia===
Yaliyomo yote ya wikipedia pamoja na picha yamwekwa kwenye uwanja wa umma yamekuwa mali ya umma. Uko huru kutumia yote yaliyopo kwenye miradi ya wikipedia.
 
====Katika makala nyingine====
Line 53 ⟶ 56:
:#Bofya maneno mazito "ukurasa wake wa maelezo" utafika kwenye ukurasa wa faili kwenye commons.
:#hapa angalia chini kabisa utaona kasanduku inayosema Categories (mfano wetu: Categories: Coats of arms of Tanzania | Fire and containers in heraldry .....). Hapa unaingia na utaona mifano mingine (kama ipo).
 
===Picha kutoka nje ya wikipedia?===
Hapa lazima kuwa kiangilifu maana katika wikipedia hatutaki matatizo ya kisheria kwa sababu za kisheria. Tunaheshimu hatimiliki za picha!
 
====Kutoka google-search?====