Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:tergat1.jpg|thumb|Mwanariadha maarufu wa Kenya{{flagicon|KENKENYA}}]]
 
'''''Paul Kibii Tergat''''' (amezaliwa [[17 Juni]], [[1969]]) ni mwanariadha maarufu kutoka nchini [[Kenya]]. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007, akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmoja kati ya wakimbiaji bora wa muda wote.