Thriller : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hy:Thriller; cosmetic changes
Mstari 11:
| Mtayarishaji = Michael Jackson<br />[[Quincy Jones]]
| Review =
* [[Allmusic]] {{rating|5|5}}
* [[Robert Christgau]] (A-)
* ''[[Melody Maker]]'' (unfavorable) 1982
* ''[[Q (magazine)|Q]]'' {{Rating|5|5}}<ref name="Q">{{cite journal |title=Review: ''Thriller'' |journal=[[Q (magazine)|Q]] |issue=January 2000 |page=138}}</ref>
* ''[[Rolling Stone]]'' {{Rating|4|5}}
* ''[[Slant (magazine)|Slant]]'' {{Rating|5|5}}
* [[Stylus Magazine|Stylus]] (favorable)<ref>{{cite web |first=Tal |last=Rosenberg |title=Review: ''Thriller'' |url=http://www.stylusmagazine.com/articles/diamond/michael-jackson-thriller.htm |publisher=[[Stylus Magazine]] |accessdate=13 June 2009|date=19 June 2007}}</ref>
* ''[[The New York Times]]'' (favorable)
| Albamu iliyopita = ''[[Off the Wall]]''<br />(1979)
| Albamu ya sasa = '''''Thriller'''''<br />(1982)
Mstari 84:
Wakati Rod Temperton ametunga wimbo wa "[[Thriller (wimbo)|Thriller]]", alinuia kabisa auite "Starlight" au "Midnight Man" lakini ukabaki katika "Thriller" kwa sababu alihisi jina lingekuwa na nguvu ya kibiashara zaidi. Daima anamtaka mtu maarufu amalizie kutaja maishairi ya mwishoni, ndiyo Temperton akamleta mwigizaji [[Vincent Price]], ambaye alimalizia sehemu yake kwa michukuo miwili tu. Temperton ametunga kisehemu cha kuongea akiwa kwenye taxi kuelekea studio. Jones na Temperton walisema kwamba baadhi ya rekodi ziliachwa kumaliziwa kwa sababu hawakuwa na mapambo tena kwa ajili ya nyimbo za albamu nyingine.
 
== Muziki ==
Kwa mujibu wa Steve Huey wa [[Allmusic]], ''Thriller'' imesafisha uwezo wa albamu iliyopita ya Jackson, ''Off the Wall''; dansi na nyimbo za rock zenyewe zilikuwa za fujo mno, wakati tuni na ballad zilikuwa laini na za hisia kali. Nyimbo kali ambazo zimejumlisha ballad ni pamoja na "The Lady in My Life", "[[Human Nature]]", na "[[The Girl Is Mine]]"; vipande vya funk ni "[[Billie Jean]]" na "[[Wanna Be Startin' Somethin]]'"; na seti ya disco ni "Baby Be Mine" na "[[P.Y.T. (Pretty Young Thing)]]".<ref name="AMG Thriller"/><ref name="RS Thriller"/><ref name="Slant Thriller">{{cite web |first=Eric |last=Henderson |url=http://www.slantmagazine.com/music/music_review.asp?ID=358
|title=Michael Jackson: Thriller |publisher=''Slant Magazine'' |year=2003 |accessdate=June 15, 2008}}</ref> "1982 na ina milio sawa na maujanja yaliwemo kwenye ''Off The Wall''. Wimbo unasindikizwa na besi na ngoma nzuri kwa nyuma kipande cha kati, kuna sauti inapanda kidogo ambayo ina maneno ya [[Kiswahili]], na kuipa wimbo ladha ya kimataifa.<ref name="tara 223–225">Taraborrelli, pp. 223–225</ref> "The Girl Is Mine" inaelezea kuhusu marafiki wawili wanaogombania mwanamke, wakibishana kuwa nani anampenda zaidi na kuishiana kwa mazungumzo ya rap.<ref name="Thriller cast interview"/><ref name="tara 223–225"/>
Mstari 103:
Nafasi yake ikatoa msukumo kwa MTV kuanza kupiga wimbo wa "[[Billie Jean]]" na baadaye "[[Beat It]]", ambayo ilileta ujamaa na baadaye kusaidia wasanii wengine weusi wa muziki kupata ule mkondo wa kufahamika.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video">{{cite web |first=Edna |last=Gundersen |url=http://www.usatoday.com/life/television/news/2005-08-25-mtv_x.htm
|title=music videos changing places |publisher=''USA Today'' |date=August 25, 2005|accessdate=April 6, 2008}}</ref> MTV wamekana madai hayo ya ubaguzi wa rangi katika urushaji wa matangazo yao.<ref>[http://findarticles.com/p/articles/mi_m1355/is_14_110/ai_n16807343/ Why it took MTV so long to play black music videos | Jet | Find Articles at BNET<!-- Bot generated title -->]</ref> Umaarufu wa video zake, kama vile "Beat It" na "Billie Jean", umesaidia idhaa ndogo-ndogo "kwenye ramani", na MTV wakazingatia kujikita katika pop na R&B.<ref name= "Jackson changes the rules of the music video"/><ref name=ABCNews>{{cite web |url=http://abcnews.go.com/Entertainment/LegalCenter/story?id=464753&page=1|title=Why Are Michael Jackson's Fans So Devoted? |publisher=ABC News |date= February 23, 2005 |accessdate=April 6, 2007}}</ref>
[[ImagePicha:Mjthriller.jpg‎|230px|thumb|left|Jackson katika mapinduzi ya video ya ''Thriller'']]
 
Jackson amebadilisha ukati wa [[muziki wa video]] kwa aina ya sanaa ya uendelezaji yakinifu kwa kuweka mstari wa hadithi tata, utaratibu wa kucheza, vionjo maalumu na kuuzisha sura watu maarufu katika video zake.<ref name=allmusic>{{cite web|last=Huey|first=Steve|title=Michael Jackson - Biography|url=http://www.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&sql=11:kifuxqe5ldae~T1 |publisher=Allmusic |accessdate=November 11, 2006}}</ref> Wakati urefu wa dakika 14 za video ya ''[[Thriller (video)|Thriller]]'', MTV wanaipiga mara mbili kwa saa ili kufikia matakwa ya watazamaji.<ref name="tara 270–271">Taraborrelli, pp. 270–271</ref> Filamu fupi imewekewa alama ya ongezeka la uzani wa muziki wa video na ulikuwa umewekewa utaratibu wa kuitwa muziki bora wa video ambao haukuwahi kufanywa hapo awali.<ref name=autogenerated2>{{cite web |url=http://www.vh1.com/artists/az/jackson_michael/bio.jhtml |title=Michael Jackson |publisher=VH1 |accessdate=February 22, 2007}}</ref> Umaarufu kwa muziki wa video umerejesha albamu nyuma hadi kufikia kiwango cha kuwa namba moja kwenye chati, lakini studio ya Jackson haikuunga mkono toleo la tatu la wimbo wa video kutoka katika albamu. Walikuwa tayari weshalizika na mafanikio walioyapata, kwa hiyo Jackson akawashawishi MTV wamlipe kazi yake.<ref name="Thriller cast interview"/><ref name="tara 270–271"/>
Mstari 205:
 
== Marejeo ==
* [[Nelson George|George, Nelson]] (2004). ''[[Michael Jackson: The Ultimate Collection]]'' booklet. [[Sony BMG]].
* {{cite book |last=Taraborrelli |first=J. Randy |authorlink=J. Randy Taraborrelli |title=The Magic and the Madness |year=2004 |publisher=Headline |location=Terra Alta, WV |isbn=0-330-42005-4}}
{{marejeo}}
 
Mstari 212:
{{Quincy Jones}}
{{Grammy Award Album of the Year}}
 
 
[[Jamii:Albamu za 1982]]
Line 238 ⟶ 237:
[[hr:Thriller (album)]]
[[hu:Thriller (album)]]
[[hy:Thriller]]
[[id:Thriller (album)]]
[[it:Thriller (album)]]