Wangari Maathai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Wangari Maathai
d roboti Nyongeza: bo:ཝང་གྷ་རི་མཱ་ཐཱི།; cosmetic changes
Mstari 2:
[[Picha:Wangari Maathai.jpg|thumb|Wangari Maathai akipokea tuzo kutoka Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya]]
 
'''Wangari Muta Maathai''' (alizaliwa [[1 Aprili]], [[1940]]) ni mwanaharakati wa maswala ya mzingira na haki za wanawake kutoka nchi ya [[Kenya]]. Mwaka wa 2004 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Amani]]'''. Yeye ni mwanamke Mwafrika wa kwanza kupokea tuzo hilo. Pia, aliwahi kuwa mbunge wa Kenya na waziri msaidizi katika serikali ya [[Mwai Kibaki]] kati ya Januari 2003 hadi Novemba 2005.
 
Katika maandalizi ya [[Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2007|uchaguzi wa 2007]] Maathai alisimama upande wa rais Kibaki lakini hakuteuliwa na chama cha ''[[Party of National Unity'' (Kenya)|PNU]] akagombea kwa chama cha Mazingira Green Party lakini hakurudi bungeni.
Mstari 20:
 
{{DEFAULTSORT:Maathai, Wangari}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1940]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Kenya]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[ar:وانجاري ماثاي]]
[[bg:Вангари Маатаи]]
[[bo:ཝང་གྷ་རི་མཱ་ཐཱི།]]
[[bs:Wangari Maathai]]
[[ca:Wangari Maathai]]