Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

nyongeza "kufuatilia"
(nyongeza, kuragisisha lugha)
(nyongeza "kufuatilia")
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
Kabla hujagonga '''Hifadhi kurasa''' ni adabu nzuri kuingiza maelezo mafupi sana kuhusu kile ulichobadilisha kwenye sanduku la '''Muhtasari''' lililopo baina ya dirisha la kuhariria na kitufe cha '''Hifadhi kurasa'''. Inaweza kuwa kifupi sana; kwa mfano kama unaingiza neno "typo", watu watajua kama umefanya masahihisho ya tahajia. Pia, iwapo mabadiliko uliyoyafanya kwenye kurasa yalikuwa madogo, kama vile kusahihisha tahajia na makosa ya kisarufi, kuwa makini kutazama kisanduku cha "Haya ni mabadiliko madogo" (hii inapatikana ukiwa umeingia kwenye akaunti yako tu, basi).
 
==Kufuatilia kazi yako==
Labda unapende kuangalia makala ulipochangia kwa njia ya kuhariri au makala uliyoanzisha inaendelea jinsi gani kwa njia ya michango ya wengine. Hapa unaweza kubofya juu ya makala inaposema "'''Fuatilia'''". Ukiwa mwanawikipedia aliyejiandikisha makala hii imeingizwa sasa katika orodha yako ya maangalizi. Orodha hii naweza kutazama ukibofya "'''maangalizi yangu'''" na kibonye hiki kiko juu kabisa kwenye kila ukurasa wa wikipedia.
 
{{-}}