Tofauti kati ya marekesbisho "Juma"

21 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ckb:هەفتە; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: io:Semano)
d (roboti Nyongeza: ckb:هەفتە; cosmetic changes)
Ufuatano wa juma haulingani na mwgawanyo mwingine wa wakati kwa njia ya [[mwezi (wakati)|miezi]] au mwaka.
 
== Mapokeo ya kiyahudi-kikristo ==
Asili ya juma ni katika utamaduni wa kale wa [[Mashariki ya Kati]] tangu [[Babiloni]]. Imeenea kupitia [[Biblia]] na kawaida ya [[Uyahudi]] na [[Ukristo]].
 
Ufuatano wa siku katika mapokeo haya huanza na Jumapili. Majina ya siku ni kama yafuatayo:
* [[Jumapili]]
* [[Jumatatu]]
* [[Jumanne]]
* [[Jumatano]]
* [[Alhamisi]]
* [[Ijumaa]]
* [[Jumamosi]]
 
Siku za Jumamosi na Jumapili mara nyingi huitwa "[[wikendi]]" ''([[kiing.]]: "weekend")''
 
== Majina ya Siku kwa Kiswahili ==
Majina ya siku tano kwa Kiswahili ni ya namba zinazoanza kuhesabiwa baada ya siku ya Ijumaa (ambayo ni siku ya sala kuu katika [[Uislamu]]):
 
Hivyo "Alhamisi" ina maana ya "siku ya tano" (baada ya Jumamosi inayoitwa "sabat" kwa Kiarabu sawa kama "shabbat" (=sabato) kwa [[Kiebrania]] (lugha ya Kiyahudi).
 
"Ijumaa" ni matamshi ya Kiswahili ya jina la Kiarabu la "jum'a" inayomaanisha "siku ya mkutano" (= ya kusali pamoja).
 
[[Category:Kalenda]]
[[Category:Vipimo vya wakati]]
{{Siku za juma}}
{{stub}}
 
[[CategoryJamii:Kalenda]]
{{Link FA|ia}}
[[CategoryJamii:Vipimo vya wakati]]
 
{{Link FA|el}}
{{Link FA|ia}}
 
[[af:Week]]
[[bs:Sedmica]]
[[ca:Setmana]]
[[ckb:هەفتە]]
[[co:Sittimana]]
[[cs:Týden]]
44,086

edits