Paul Ereng : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Alizaliwa [[Kitale]](katika [[Wilaya ya Trans-Nzoia]]) nchini [[Kenya]], Paul Ereng alisomea [[Shule ya Upili ya Starehe]] mjini [[Nairobi]]. Yeye alikuwa anaonekana kama alikuwa bora katika mbio ya 400m hadi mwisho wa mwaka wa 1988. Baada ya kujiandikisha katika [[Chuo Kikuu cha Virginia]], Ereng alianza kukimbia mbio ya 800m,hapo mwanzo wa 1988.
===Maisha katika Riadha===
Ereng hakuwahi shindwa katika msimu wa [[Marekani]] wa mbio za nje katika mwanzo wa mwaka wa 1988. Yeye alishinda taji laNCAAla NCAA 800 m katika miaka ya 1988 na 1989. Lakini katika majaribio ya timu ya Olimpiki ya Kenya,Ereng alihitimu kwa kidogo tu kwa kumaliza katika nafasi ya tatu. Ingawa alikuwa anakua kwa kasi sana,Ereng hakuonekana kama mshindi wa dhahabu alipowasili [[Seoul]] kwa michezo hiyo ya Olimpiki. Hata hivyo, watu walianza kumsifu na kuona umaarufu wake aliposhinda semi fainali yake na muda wa 1:44.55,uliokuwa muda wake bora wa wakati huo.
 
Katika fainali ya Olimpiki, Ereng alikuwa katika nafasi ya nne ,walipoingia mkondo wa mwisho, lakini alitimua mbio na akawapita wanariadha wote watatu ili kushinda medali ya dhahabu. Baada ya Olimpiki, alirudi nyumbani Kenya na kukaribishwa kama shujaa. Jambo bora zaidi lilikuwa kupokea medali yake(tena) katika mkutano wa jioni wa shule ya Starehe kutoka kwa marehemu Dkt. Geoffrey William Griffin.Katika Mbio ya Ndani ya Ukumbi ya Dunia mjini [[Budapest]],Ereng alikimbia kasi tena katika mkondo wa mwisho na kushinda medali ya dhahabu katika rekodi mpya ya mbio za ndani ya ukumbi katika muda wa 1:44.84.
[[Picha:paulereng3.jpg|thumb|250px|right|Paul Ereng akishinda dhahabu katika mbio maarufmaarufu za Olimpiki ya [[Seoul]] ya 1988]]
Katika mwaka wa 1991, Ereng alishinda tena taji lake la mbio ya ndani ya ukumbi akiwa [[Seville]] lakini akawa # 4 katika Mbio ya Dunia ya Ubingwa mjini [[Tokyo]]. Ereng hakuwa tisho tena katika mbio za kimataifa baada ya hiyo na akashindwa katika semi fainali ya Olimpiki ya 1992.
===Masomo na kazi===